Recent content by Uncle Elroy

  1. Uncle Elroy

    JamiiForums Tanzania Naombeni caption kali kuambatanisha na picha yangu kwenye mitandao ya kijamii

    “Ukinikataa wenzako wananidaunlodi”
  2. Uncle Elroy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mali Kimesera afariki dunia Marekani

    We mzee kila sehemu upo
  3. Uncle Elroy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei afariki Dunia

    Kwenye kitabu chake ameelezea mengi. Alishawahi pia kufanya kazi IMF Washinton, USA.
  4. Uncle Elroy

    JamiiForums Tanzania Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

    Lilikuwa mamluki lile
  5. Uncle Elroy

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha Habila & Khabil ni kanjanja

    Ni ONTARIO aliyepoa
  6. Uncle Elroy

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Ila Kdrama siku hizi wanazikimbiza sana, ikienda sana mwisho episode 12 sio 16 au 20 kama tulivyozoea. Yaani Main Character kwenye revenge action series anaweza kupigana na watu 50 asubuhi akachomwa visu na bado jioni akapigana na watu 20 na akawabonda na bado ataendelea 🙌🏾.
  7. Uncle Elroy

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Manipulated bado episode 4, wiki ijayo zinatoka mbili na wiki inayofata mbili.
  8. Uncle Elroy

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Yes kwa sasa napenda za mjini sana. Kuna Buried Hearts pia nimeibookmark
  9. Uncle Elroy

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Pamoja mkuu
  10. Uncle Elroy

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Oyaa huu mzigo ni hatari aisee, yaani series za korea zenye plot ya revenge hazijawahi kuniangusha
  11. Uncle Elroy

    JamiiForums Tanzania Pamoja na unyang'anyi wote viongozi wa dini zenu watajazana kumsimika, mtaambiwa chaguo la Mungu

    Ataapishwa wapi, haiwezekani watu tupo barabarani
  12. Uncle Elroy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%

    Hatumtambui
Back
Top Bottom