Recent content by Unbwogable2015

  1. U

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia: Niliwahi kuuza chai na maandazi

    Mheahimiwa naye yupo busy huko mbeya mara "Tulia marathon" mara "Tukia Trust" anahangaika na kutengenez Mazingira ya kupambana na mheshimiwa sugu 2020...figisu nyingi sana..utafurahi mbona,wana mbeya!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Ukiziunga mkono harakati zake wala usiwe na shaka nazo mkuu....hawa wanaompinga ndiyo hao wanaunga mkono kupotea kwa watu,kuminywa kwa demokrasia na kufumbia macho upotevu wa 1.5 trillioni. Sasa Mange amaekuwa mwiba kwao tena mkali haswa. Huyu JPM aliyesema tutajitegemea tunajitegemea kwa kipi...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Ndiyo tattizo la watu wenye uelewa mdogo,huyu Magufuli ni Mungu kwamva asikosolewe?serikali kila inapokosolewa oooh huyu mtu kuna watu nyuma yake. Wenye macho wanaona nchi ilivyo na inavyokwenda. Sasa hao waluo nyuma ya magufuli nao wanafanya nini?kama wanamshauri hashauriki wafanyaeje? Walio...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Kwani hapa misaaada inakuja hakuna barabara mbovu? Hiyo 1.5 triii isiyo na maelezo haingesaidia?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaka fedha benki ya Afrika kufadhili mradi wa Stiegler's

    Hii serikali na viongozi wake si wa kuwaaamini hata kidogo..misuki ilivyomtoka Lukuvi bungeni,Zitto akamwambia hamna pesa nyie acheni uongo akabishaa..sasa bakuli la nini?
  6. U

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Malawi waruhusu maandamano kuipinga Serikali. CCM iige kwa jirani

    Ndiyo fikra zako potofu na wale wapiga deal wenzako wa 1.5 tri. Mmelishwa kasumba kwamba maandamano ni ya kupindua nchi, Hao chadema mbona hatujasikia wamejihusisha na kuratibu..mmebakia mnahaha usiku na mchana kukamata watu wasio na connection kama si kuhaha kitu gani? Kawajambisha Mange peke...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ukonga, Chacha Waitara kazi imekushinda

    Iko wapi 1.5 Trilion?siyo mnakuja hapa mnapiga kelele wakato viongizi wa fisiem ndiyo wapigaji wakubwa.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Kwanza suala la vyeti vyake na ukakasi wake athibitishe oasipo shaka. Maana tayari ni jinai hiyo.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mkapa: Najuta

    Na ujute pia kututelea hili dude linatusumbua sasa hivi.Maana ndiyo lilikuwa chaguo lako ulimuendorse. Hatuwezi kukusamehe kwa hili..maana nawe umechangia haya tunayopitia kwa sasa.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Aslay na Nandy kupelekwa Mahakamani

    Njaa kitu kibaya sana sana..wanavyoona inahit basi wanaingia tamaa. Wakina Aslay na Nandy walienda kuwaona wahusija kuomba ruhusa kabla ya kuirudia hii track.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Serikali: Upembuzi Yakinifu Kwa Ajili Ya Ujenzi Wa Fly Over 7 Jijini Dar Kukamilika Mwaka Huu

    Flyovers au madaraja tu? Wanasubiria awamu zao zikiwa zinaenda ukingoni ndiyo wanakuja na viproject sijui upembuzi yakinifu.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kesi ya Joseph Mbilinyi(Sugu) na Masonga yaunguruma! Warudishwa rumande mpaka Februari 9, 2018

    Hawataweza hawa mafisiem!!hakuna dhambi mbaya kama umma ukikutaa wewe ukawa unalazimisha kukubalika. Kama wanajiamini wanakubalika na utendaji wao kwanini wahangaike na mbinu chafu? Maana ukijiamini kwamba unaitendea mambo mazuri jamii na yakaoneka,basi jamii haitajiuliza mara mbili kukuchagua.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kesi ya Joseph Mbilinyi(Sugu) na Masonga yaunguruma! Warudishwa rumande mpaka Februari 9, 2018

    Naona bi Tulia anatafutiwa jimbo kwa nguvu sana,by hook or by crook. Hawataweza.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rugemalira aibua mapya, anataka kumtaja mwizi wa fedha za Escrow

    Ndiyo itakuwa final episode ya serie hii. Maaana watavuliwa nguo
Back
Top Bottom