Nakumbuka press yake ya kwanza wakati anawataja askari wake wa miamvuki; mbwembwe kibao.Na kama kulikuwa na rais mbishi mbabe na asiyeambilika yeye aliongoza.... and now I can see the reincarnation of him at this phase
Maneno kuntu sana !Tunaweza kudhani kaomba msamaha katika hali ya kawaida ya majuto ya kibinadamu, tunaweza kudhani kwamba kaamua kuwa muungwana na kufanya kitubio ili abaki na amani LAKINI katika picha pana ni salamu kwa Jakaya ni salamu za kutaka naye ajitokeze na kukiri pale alipokosea....halafu?
Ni salamu pia kwa Magufuri kwamba a jifunze kutokana na makosa ya watangulizi wake na kikubwa ASIKILIZE maoni ya wengine ASIKILIZE wananchi wanataka nini kwakuwa huko tuendako hakutakuwa na nafasi ya kuomba msamaha ukiwa jukwaani umevaa suti unasikilizwa bila kuhojiwa huku ukipigiwa makofi..!
Mi nlijua anajuta kwa kutuletea Sizonje... kumbe thread ya mwaka juzi....Maneno kuntu sana !
Kama kuna kitu mwalimu alipinga kwa nguvu zote ni hili la kubinafsishwa kwa NBC Benki iliyokuwa ina mtandao mkubwa zaidi nchini (upo ushahidi kwenye hili)na mzimu wake unamuandama mpaka sasa
mkuu sijakuelewa kauli uliyouqndikq na mada inayoendelea vinahusiana vipNdio maana Nyerere alifariki 99.
Ngoja aje afafanue vizurimkuu sijakuelewa kauli uliyouqndikq na mada inayoendelea vinahusiana vip
Kumsamehe hatuwezi mpaka aanze kurejesha mali alizo jibinafsisha kwanza. Hichi kilio cha mamba tu