Recent content by Unavoidable Servant

  1. Unavoidable Servant

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Christian doctrine, Yesu alisurubiwa msalabani kwa ajili ya zambi zetu. Yesu ndio njia ya uzima na kweli, ukibatizwa na kumfuata una uzima wa milele, haya ndio mafundisho ya Biblia, habari za motoni motoni hata ukimsikia mchungaji anahubiri ni kutisha watu tu lakini ukweli na msingi wa Ukristo...
  2. Unavoidable Servant

    Tumenyimwa mafao ya mirathi NSSF, tumeambiwa ni mali ya Serikali na NSSF

    Mama yenu yuko wapi? Yeye ndio anatakiwa kujaza fomu.
  3. Unavoidable Servant

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Yani Mungu akuumbe halafu akuchome moto? Wewe unaweza kumchoma moto mtoto wako? Siamini hili.
  4. Unavoidable Servant

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Simba binafsi sijaridhika na majibu yako kwa dada Farijala wa Farijala Sasa mimi naomba Arsis mwenyewe ndio ajibu swali hili au hata bakora atuelekeze miti shamba ya kuondowa nuksi.
  5. Unavoidable Servant

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Na madaktari wakitumia kingereza chao, na wanasheria waje na kingereza chao kilichochanganyika na Kilatini sijui kama patakalika hapa.
  6. Unavoidable Servant

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Kwahiyo Arsis ni UFO?
Back
Top Bottom