Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amesema kuwa katazo la Serikali la kuagiza nje ya nchi vifaa vya kujengea miundombinu ya usambazaji umeme kama transfoma, nyaya, nguzo na mita za umeme, limeongeza idadi ya viwanda nchini na kupelekea vifaa hivyo kupatikana kwa wingi na ndani ya muda...
Imeelezwa kuwa Bandari ya Mtwara itapokea mafuta tani za ujazo 8000 (lita milioni 9.6) ifikapo mwezi Septemba mwaka huu ikiwa ni mara ya Pili kupokea shehena hiyo ya mafuta kutoka yaliposhushwa kwa mara ya kwanza mwezi Juni mwaka huu.
Hayo yamebainishwa leo tarehe 29 Agosti, 2018 na Kaimu...
Dunia Ni kama vidole kila mtu anapitia njia yake kuingiza kipato na kwa ukubwa tofauti. Maadam ni kipato halali, kila mtu aheshimiwe kwa hilo. mleta mada chunga ndimi yako.
Vigori wa bongo wanashangaa kuwa pamoja na pesa zote, watoto wa kutosha, uzuri wote. But mondi kamsaliti bila kuvaa mpira. Ningekuwa mwanamke kwa watoto hao nilionao, uzuri, pesa haha, mwanaume msaliti tupa kule.
Utamu wa shule zao bana, no fimbo, mwalimu hawez thubutu kushika kiboko atafukuzwa yeye, but adhabu wanazotoa Ni za kukujenga kama kulima bustani, kufanya usafi n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.