Heshima kwenu wakuu,
Mimi humu ni msomaji tu kwa muda sasa[emoji1787][emoji1787]Sijui na utu uzima au ni vipi
Katika pita pita zangu nimegundua wanawake warembo/wasomi/wenye pesa wanateswa sana na mapenzi kuliko wanawake wa kawaida wasio na maisha
Shida ni Nini, vijana mnawaonaje au...
Wewe ndiye mtu pekee ambaye umenielewa mkuu na wewe unaelewa vizuri nature ya mwanamke na umenielewa vyema sana na umenishauli vizuri na umedadavua in deep thanks nimepata kitu hapa.
Habari za wakati huu mabibi na mabwana
Nimekuja live hapa napenda niwe very open.
Nina mpenzi tunapendana ila yupo nje ya nchi kikazi. Kiubinadamu kuna wakati nakuwa bored na mpweke sana yes I need some one to be close na bla bla zingine.
Hivi karibuni kuna jamaa mmoja nimekuwa na ukaribu nae...
Tchaaaooo.
Heshima kwenu wana janvi.
Kila mmoja tunafahamu Tarehe 14 ni siku ya wapendanao.
Je kwa sisi ambao wapenzi wetu wapo mbali na kuonana ni vigumu unaweza ukamfanyia nini jamaa ukamfarijina yeye akajihisi kweli japo yuko mbali lakini we are together on this special day.
Au nizawad gan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.