Ushauri: Kuna mwanaume nimempenda ila nina mpenzi ambae yupo nje ya nchi kikazi

umukagame

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,044
667
Habari za wakati huu mabibi na mabwana
Nimekuja live hapa napenda niwe very open.

Nina mpenzi tunapendana ila yupo nje ya nchi kikazi. Kiubinadamu kuna wakati nakuwa bored na mpweke sana yes I need some one to be close na bla bla zingine.

Hivi karibuni kuna jamaa mmoja nimekuwa na ukaribu nae kikazi. Nimuelezee kidogo. Ni mtu ambaye wengi wa wanawake akimuona atatamani kuwa nae, kuanzia title yake, muonekano wake na kila kitu.

Basi tumekuwa tukishirikiana katika kazi lakini siku za hivi karibuni amekuwa akinipa mialiko ya lunch and so on. Lakini huwa naignore, sijawahi kutoka nae wala kukaa kuongea zaidi ya mambo ya Kazi.

Siku mbili zilizopita akanicheki Kwa text kwamba ananihitaji, ilikuwa text fupi sana, sikuijibu.

Hapa niwe mkweli Mkaka nimempenda lakini nahisi kwake sintakuwa peke yangu na labda kanitamani tu anataka anitumie apite aniachie maumivu. Na mpenzi wangu wa nje ya nchi nampenda sana.

Nishaurini wakuu
Msinipopoe jamani haya mambo yapo sana au kwakuwa yenu hamuyasemi?
 
Habali za wakati huu mabibi na mabwana
Nimekuja live hapa napenda niwe very opened.
Nina mpenzi tunapendana ila yupo nje ya nchi kikazi. Kiubinadamu kuna wakati nakuwa bored na mpweke sana yes I need some one to be close na bla bla zingine.

Hivi karibuni kuna jamaa mmoja nimekuwa na ukalibu nae kikazi. Nimuelezee kidogo) ( Ni mtu ambaye kila mwanamke akimuona atatamani kuwa nae.kuanzia title yake muonekano wake na kila kitu)

Basi tumekuwa tukishirikiana katika kazi lakini siku za hivi karibuni amekuwa akinipa mialiko ya lunch and so on. Lakini huwa naigno sijawahi kutoka nae wala kukaa kuongea zaidi ya mambo ya Kazi.

Siku mbili zilizopita akanicheki Kwa text kwamba ananihitaji, ilikuwa text fupi sana, sikuijibu.

Hapa niwe mkweli Mkaka nimempenda.Lakini nahisi kwake sintakuwa peke yangu na labda kanitamani tu anataka anitumie apite aniachie maumivu. Na mpenzi wangu wa nje ya nchi nampenda sana.

Nishaurini wakuu
Msinipopoe jamani haya mambo yapo sana au kwakuwa yenu hamuyasemi?
We mpelekee tu mshikaj aenjoy kwa nafasi yake

Huyo mshikaj wako akirudi ataenjoy kwa nafasi yake

Mapenzi uwanja mpana
 
Tamaa mbele mauti nyuma, hauta gain chochote zaidi ya kuharibu mahusiano yako ya zamani.

Love is hard, kuna wakati lazima mpitie majaribu katika mahusiano, kama distance, misunderstandings na financial crisis. Lakini kama kuna upendo kweli basi mtapita nyakati ngumu kwa uvumilivu thabiti.

Mapenzi yanahitaji msimamo wa hali ya juu na kama msimamo huo huna utavua chupi yako kwa kila mwanaume unayemtamani. Lets be honest huyu jamaa mpya hujampenda lakini umemtamani just because, upo mbali na umpendaye. Kwa hiyo jaribu kufikiri mara mbili, kabla hujadondosha tone la wino kwenye maji.
 
Unapoomba ushauri huna haja ya kusema kila mwanamke atamtamani, hii ni defensive mechanism. Wewe sema Kuna jamaa moja mbili tatu bila kuleta mbwembe.

Najua ulitaka kutushawishi kuwa ukimpatia usilaumie kwa haiba aliyonayo. Wewe Kama unajua unachotaka kwenye maisha yako ni nini usingekuwa na mgogoro wa nafsi kwenye hili, kiufupi wewe hujielewi kabisa. Nasikitikia hao jamaa wanaokudate.
 
Unapoomba ushauri huna haja ya kusema kila mwanamke atamtamani hii ni defensive mechanism. Ww sema Kuna jamaa moja mbili tatu bila kuleta mbwembe. Najua ulitaka kutushawishi kuwa ukimpatia usilaumie kwa haiba aliyonayo. Ww Kama unajua unachotaka kwenye maisha yako ni nini usingekuwa na mgogoro wa nafsi kwenye hili, kiufupi ww hujielewi kabisa. Nasikitikia hao jamaa wanaokudate.
Anataka kutushawishi tuukubali umalaya wake 😂😂 kama vile mwanamke yupo peke yake
 
Mosi,,, Moyo uliumbwa Kumpenda mtu mmoja tu

Iyo ya kusema huyu nampenda,wanje unampenda hizo ni blaaa blaaa

Kwa ufupi ni Tamaa zetu tu ndo zinatufanya Kusaliti wapenzi wetu .na hamna sababu ya kuhalalisha hayo

Pili,,, Wanaume Demu akikuzungusha ,usihisi wee ni mbaya au huna kitu, hawa madem nao wana class zao, kuna demu hajiamin kabisa kiasi kwamba ukimtongoza anahisi yeye sio saizi yako kabisa, labda umetaka tu kutombaa basi, au unakuta dem anakuignore sio kwa kua humfai bali Anajishtuia mwenyewe, haaamini kama nayeye anaweza tongozwa nawewe.

Tatu,,,, Weee Bana mpaka hapa Umeshaamua ,ila unataka nasisi tusupport maamuzi yako, ili baadae uje useme ,Nyie ndio mlinidanganya.

Nne,,, Kwa kua una nyege za muda mrefu, Nenda tu jamaa akupelekee moto, Sema nn. pima afya, au utumie kondomu, bila kusahau Kutumia njia za uzazi mpango kama mtaamua kupima na kupelekeana moto nyamanyama...hii itakuepusha na utoaji wa mimba , kulea watoto wasokua na Baba.
 
Habali za wakati huu mabibi na mabwana
Nimekuja live hapa napenda niwe very opened.
Nina mpenzi tunapendana ila yupo nje ya nchi kikazi. Kiubinadamu kuna wakati nakuwa bored na mpweke sana yes I need some one to be close na bla bla zingine.

Hivi karibuni kuna jamaa mmoja nimekuwa na ukalibu nae kikazi. Nimuelezee kidogo) ( Ni mtu ambaye wengi wa wanawake akimuona atatamani kuwa nae.kuanzia title yake muonekano wake na kila kitu)

Basi tumekuwa tukishirikiana katika kazi lakini siku za hivi karibuni amekuwa akinipa mialiko ya lunch and so on. Lakini huwa naigno sijawahi kutoka nae wala kukaa kuongea zaidi ya mambo ya Kazi.

Siku mbili zilizopita akanicheki Kwa text kwamba ananihitaji, ilikuwa text fupi sana, sikuijibu.

Hapa niwe mkweli Mkaka nimempenda.Lakini nahisi kwake sintakuwa peke yangu na labda kanitamani tu anataka anitumie apite aniachie maumivu. Na mpenzi wangu wa nje ya nchi nampenda sana.

Nishaurini wakuu
Msinipopoe jamani haya mambo yapo sana au kwakuwa yenu hamuyasemi?
Hapa niwe mkweli Mkaka nimempenda, udhaifu wako huu kashauona anasubiria tu uingie kibla, wanawake wa aina yako ni wa hovyo sana, kwahiyo ukipata mwanaume mwingine tena ambaye hakuna mwanamke anaeweza kumuona akaacha kumtamani naye utampa...!...
 
Habali za wakati huu mabibi na mabwana
Nimekuja live hapa napenda niwe very opened.
Nina mpenzi tunapendana ila yupo nje ya nchi kikazi. Kiubinadamu kuna wakati nakuwa bored na mpweke sana yes I need some one to be close na bla bla zingine.

Hivi karibuni kuna jamaa mmoja nimekuwa na ukalibu nae kikazi. Nimuelezee kidogo) ( Ni mtu ambaye wengi wa wanawake akimuona atatamani kuwa nae.kuanzia title yake muonekano wake na kila kitu)

Basi tumekuwa tukishirikiana katika kazi lakini siku za hivi karibuni amekuwa akinipa mialiko ya lunch and so on. Lakini huwa naigno sijawahi kutoka nae wala kukaa kuongea zaidi ya mambo ya Kazi.

Siku mbili zilizopita akanicheki Kwa text kwamba ananihitaji, ilikuwa text fupi sana, sikuijibu.

Hapa niwe mkweli Mkaka nimempenda.Lakini nahisi kwake sintakuwa peke yangu na labda kanitamani tu anataka anitumie apite aniachie maumivu. Na mpenzi wangu wa nje ya nchi nampenda sana.

Nishaurini wakuu
Msinipopoe jamani haya mambo yapo sana au kwakuwa yenu hamuyasemi?
Hebu eleza moyo wako upo kwa nani hasa, ili pia kukushauri iwe rahisi...

Lingine ni Weka Sifa za kila mmoja hapa pia nikusaidie kutambua wapi pakuegemea
 
Pole sana kwa mtihani unaopitia na ni vizuri umekuja kuomba ushauri.

Huyo jamaa yako wa mbali anakuja mara ngapi kukutembelea au wewe una uwezo wa kwenda kumtembelea mara ngapi?

Ndio unampenda sana lakini je unapenda mapenzi ya mbali? Hapa ndio unatakiwa ufanye maamuzi ili ujue kama unasonga mbele kivyako au utamsubiri jamaa ako.

Huyu mpya itategemea na jibu lako hapo juu, upweke utakuletea watu wengi tu kukupima , muhimu kumbuka magonjwa ya zinaa mengi sana na hayapimwi kwa macho.

Chagua mpenzi mmoja, kama unataka mtu wa kukupunguzia upweke una marafiki kibao badilishana nao mawazo. Kama unataka mtu wa kufanya nae mapenzi na unajiona huwezi vumilia, achana na mapenzi ya mbali yatakuletea matatizo.

Nimekupa ushauri kama dadangu, jilinde, kila kinachong'aa sio dhahabu.
 
Habali za wakati huu mabibi na mabwana
Nimekuja live hapa napenda niwe very opened.
Nina mpenzi tunapendana ila yupo nje ya nchi kikazi. Kiubinadamu kuna wakati nakuwa bored na mpweke sana yes I need some one to be close na bla bla zingine.

Hivi karibuni kuna jamaa mmoja nimekuwa na ukalibu nae kikazi. Nimuelezee kidogo) ( Ni mtu ambaye wengi wa wanawake akimuona atatamani kuwa nae.kuanzia title yake muonekano wake na kila kitu)

Basi tumekuwa tukishirikiana katika kazi lakini siku za hivi karibuni amekuwa akinipa mialiko ya lunch and so on. Lakini huwa naigno sijawahi kutoka nae wala kukaa kuongea zaidi ya mambo ya Kazi.

Siku mbili zilizopita akanicheki Kwa text kwamba ananihitaji, ilikuwa text fupi sana, sikuijibu.

Hapa niwe mkweli Mkaka nimempenda.Lakini nahisi kwake sintakuwa peke yangu na labda kanitamani tu anataka anitumie apite aniachie maumivu. Na mpenzi wangu wa nje ya nchi nampenda sana.

Nishaurini wakuu
Msinipopoe jamani haya mambo yapo sana au kwakuwa yenu hamuyasemi?
Wewe unataka akutumie halafu akuweke wapi
 
Tuanze na huyo mpenzi wako wa zamani, ukimuangalia na ukiangalia mahusiano yenu anaonekana yupo serious na wewe kuelekea ndoa au haeleweki?

Huyu mpenzi mpya unamtaka kwa ajili ya ndoa kabisa au akupunguzie tu upweke?

Back
Top Bottom