Iwe Lissu ametangaza nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi wa 2025, au hapana, hoja ya kujadili ni kuhusu lengo anataka madaraka ya Urais kwa maslahi yake binafsi, au kwa maslahi ya Wananchi? Kama anataka kuwania nafasi hiyo ya Rais wa Jamhuri ya Tanzania, atakuwa anahitaji ukubwa kwa maslahi...
Kama kweli mama huyu angekuwa na moyo wa upendo kwa wananchi anaowatala, badala ya kumwaga mamilioni ya fedha za walipa kodi kwa vikundi vya watu wachache vyenye mvuto wa husia katika jamii, angeanzia kwanza kuhoji madaraka yake ya utawala, kwamba ni kwa nini anaitwa RAIS WA MUUNGANO, lakini...
'Zawadi' anazotoa Rais Samia na kusifiwa ana moyo wa ukarimu siyo wala si ishara yakuwa na moyo wa ukarimu. Kwanza, siyo moyo wa ukarimu kwa sababu hiyo hela anayotoa siyo ya kutoka mfukoni kwake, bali fedha ya walipa kodi ambayo inatakiwa ipangwe na Bunge ili kuweka uwiano wa wananchi wote...
Hiyo Katiba uliyosoma imeeleza jinsi nchi iliyoitwa Tanzania ilivyopatikana. Ni kwamba mwaka 1964 Serikali za nchi mbili ( Tanganyika na Zanzibar) zilikubaliana kuunganisha ardhi na serikali zao ziwe kitu (entity) kimoja. Kwa lugha rahisi nchi hizo, zikiwa huru, na pasipo kulazimishwa na mamlaka...
Tatizo siyo kutokuwa na viongozi wazalendo. Tatizo ni kwamba hao waliopo wawe wazalendo kwa nchi gani? Mwaka 1964 nchi mbili (Zanzibar na Tanganyika) ziliamua kuunganisha ardhi na serikali zao kuwa moja; na kutokana na makubaliano hayo ilizaliwa nchi mpya iliyoitwa Tanzania. Kwenye miaka ya 80...
Hivi Wasira anaposema ni marufuku vyama pinzani kutumia vijana kutoka Mkoa wa Mara, anajielewa yeye mwenyewe na Chama alichomo anakielewa? Hivi anatambua kiuhalisia kwamba CCM, tofauti na vyama vya upinzani (ukitoa CUF) siyo Cama cha Tanganyika. Huo ni muungano wa vyama viwili (ASP na TANU), vya...
Ulisemalo ni sahihi kabisa kwamba dawa ya matatitzo ya nchi yetu, wakati huu, ni wananchi sote kuamka na kuwa na ujasiri wa kudai haki ya kuwa na katiba sahihi ambayo, kwanza, itatambua Serikali tatu za Mungano (Serikali ya Muunga o, Serikali ya Tanganyika, na Serikali Zanzibar). Lakini wzkati...
Ni shuhuda au ni kibaraka? Madawa hayo kwa nini hayakuweza kutolewa huko Ngorongoro mpaka yasubiri watu walazimishwe kuhamia Msowera? Huo siyo msaada bali ni hongo kufunika ukatili wa serikali hii inayojiita ya 'awamu ya sita' inaofanyia wananchi wa Ngorongoro. Hivi leo wakisema watu wahamishwe...
MADAI YA KATIBA MPYA YANATOKANA NA UKWELI KWAMBA KATIBA ILIYOPO IMEKIUKWA NA WAKATI KWA SABABU INAZUNGUMZIA MUUNGANO, WAKATI MUUNGANO ULIVUNJIKA ZANZIBAR ILIPOAMUA JUWA NA SERIKALI YAKE NJE YA MUUNGANO. KATIBA MPYA NI LAZIMA ILI KUIPA TANGANYIKA SERIKALI YAKE PIA AU KUVUNJA SERIKALI YA ZANZIBAR...
KAULI ZA NAPE ZINATOKANA NA ANDIKO LIPI LA CHAMA CHA MAPINDUZI? ANDIKO MOJA LA CHAMA LINASEMA "NITASEMA KWELI DAIMA, FITINA KWANGU MWIKO". JE, KAULI YA NAPE KWAMBA CHAMA KINA WENYEWE NI YA KWELI? JE, KAULI YA NAPE KWAMBA MWENYEKITI ALIYEFARIKI ALIKUWA GODFADHA KWA BAADHI YA WANACHAMA NI YA...
Ni sahihi kabisa starehe nyingi zinasemekana kuwa ni dhambi. Hiyo inatokana na ukweli kwamba starehe nyingi huwaelekeza wanaostarege kutenda dhambi. Sasa, kabla hatujaangalia ni kwa vipi starehe inaongoza watu kutenda dhambi, tujiulize, dhambi ni nini? Dhambi ni uasi wa sheria ya Mungu. Starehe...
It can be true that generally the tests are working well, but how far sure is the learned CDC Director that the tests in Tanzania, in particular, are working well? Scientist never give blind responses. What scientific steps has the honourable Director taken to disapprove the Tanzania...
Nimeanza kufuatilia Mada kuhusu vicoba hivi karibuni. Nimebaini mijadala kuhusu mada hii kuhusu uanzishaji na uendeshaji wa vicoba imeishia 2017. Naweza kupata mdau wa kunisaidia kupata literature kuhusu kuanzisha na kuendesha kikundi cha vicoba? Nikipata contact ya mtaalam anayeweza kunisaidia...
Siamini kama kweli barua ya Msajili wa Vyama vya Kijamii ni 'fake'. Kama ingekuwa batili isingekuwa imenukuu vifungu vya SHERIA husika, wala isingesainiwa na Afisa mhusika wa Kitengo husika. Bora Waziri aeleze kama zipo sababu zingine zilizompelekea kusimamisha zoezi hilo.
Nakubali kulikuwa na makosa mengi ya uchapaji (typing errors), lakini hilo halifanyi nisielewe ninachokizungumzia.
Kwa ufupi nilichokimaanisha ni kwamba viongozi wetu wa kiroho (hasa wa Makanisa ya Kiprotestanti) wana wajibu wa kutoa ufafanuzi wa kina kwetu sisi waumini wao kuhusu Mkataba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.