Fahamu kuhusu vicoba na namna ya kupata usajili wa vikundi hivi vidogovidogo

Habari wadau,

Najua wengi wenu mko poa. Naomba tupeane maujuzi jinsi ya kusajili kikundi kidogo cha vijana mama 15. Hivi ni mchakato gani tufate na ni ofisi gani inafanya hii kazi?

Kwenu wadau
 
Habari wadau,

Najua wengi wenu mko poa. Naomba tupeane maujuzi jinsi ya kusajili kikundi kidogo cha vijana mama 15. Hivi ni mchakato gani tufate na ni ofisi gani inafanya hii kazi?

Kwenu wadau

Kama nimekuelewa vizuri unataka kuanzisha cbo yaani community based organization,vikundi kama hivi husajiliwa na idara ya maendeleo ya jamii za halmashauri.Ila ni lazima uwe na nyaraka muhimu za usajili ambazo ni hizi
1.orodha ya wanachama waanzilishi
2.muhtasari wa kwanza wa hicho kikundi
3.orodha ya viongozi
4.wasifu wa mwenyekiti,katibu na mweka hazina na picha zao
5.katiba ya kikundi ambayo lazima iandikwe vizuri ili kutoa muongozo mzuri wa namna inavyofanya kazi
Ila kama unataka kikundi hichi kuwa ni ngo badi utaratibu wake wa usajili ni tofauti
 
Kwanza Samahanini sana wakuu, Ni mara yangu ya kwanza kupost kitu naombeni ushauri kwa yeyote anayefahamu vizuri michakato ya kusajili vikoba, Ni ofsi gani ya serikali inayohusika na usajili wa vikundi vay vicoba? ninawadau wenzangu tunataka kuunganisha nguvu ili tuweze kujikwamua kiuchumi but tunahitaji tusifanye mambo kinyemela sasa kwa niaba ya wenzangu naomba mwenye kujua michakato ya mambo haya aweze kutusaidia, Tupo zanzibar na pia kama kwa huku zanzibar kama kuna mtaalamu wa mambo ya vicoba tungependa kukutana naye ili aweze kutupa darasa.
nawasilisha samahanini sana wakuu.
 
Mpigie simu huyu dada anaitwa Paulina 0715700355 ndio mtaalamu wa hayo mambo
 
Kwanza Samahanini sana wakuu, Ni mara yangu ya kwanza kupost kitu naombeni ushauri kwa yeyote anayefahamu vizuri michakato ya kusajili vikoba, Ni ofsi gani ya serikali inayohusika na usajili wa vikundi vay vicoba? ninawadau wenzangu tunataka kuunganisha nguvu ili tuweze kujikwamua kiuchumi but tunahitaji tusifanye mambo kinyemela sasa kwa niaba ya wenzangu naomba mwenye kujua michakato ya mambo haya aweze kutusaidia, Tupo zanzibar na pia kama kwa huku zanzibar kama kuna mtaalamu wa mambo ya vicoba tungependa kukutana naye ili aweze kutupa darasa.
nawasilisha samahanini sana wakuu.
Kama huko zenji kuna ofc ya maendeleo ya jamii nendeni mkawaone watawasaidia. Ila kama mnaogopa riba nawashauri msiende
 
Habari !!!!! nilikua naomba maelezo au msaada wa kufahamu namna ya kusajili kikundi cha kikoba , Tunakikundi cha kikoba huku kwetu ambacho hua tunakutana kila jumamosi na utaratibu wake uko hivi kikundi hiki kilianzishwa na kuanza kukopa siku hiyo hiyo yaan tulikua tunaweka shs 7000/= ambayo mchanganuo wake ulikua ni kama ifuatavyo
5000 NI hisa moja ila unaweza ukaweka zaidi ya hisa moja kikomo ni 10
2000 hii ni jamii
faida ambavyo tulianza kuipata ni kwamba siku ya kwanza tulikua wanachama kama 15 hivi ambapo ilikusanywa shs 75,000 na akakopa mtu kwa kurudisha ndani ya miezi 3 kwa riba ya 5%
yaani angetakiwa alipe Tshs : 78500 ndani ya miezi 3
na 2000 ya jamii ilikua jumla ya shs 30000/= ambayo alikopa mtu 1 kwa ajili ya mkopo wa WIKI kwa asilimia zile zile
tukakopa sote mpaka tukaisha siku nyingine hisa zilizidi hadi wakawa wanakopa watu 2 baada ya muda now tunauwezo wa kukopa sote PESA YA WIKI yaani Jamii tshs 50000/ kila mmoja ndani ya wiki hiyohiyo
na sasa tunakopa Tshs 300,000 ule mkopo wa HISA
NINI KUSUDIO LANGU KUANDIKA HAPA ???
katika hatua tuliyofika tuna taka kupata Usajili yaani kitambulike kwahiyo Tunaomba mwenye kujua atujuze TARATIBU ZA USAJILI
Nawasilisha mapendekezo na njia za kutatua hili.
 
Asante kwa ufafanuzi.
Ukweli ni kuwa sijawi kufikiria kuwa VICOBA vina-operate mjini. Maana hata neno Village linamaanisha kijiji. Nilifikiria vipo vijijini kutokana na Mabenki mengi yanayo-operate mjini kushindwa kuwafikia wanavijiji na hivyo kuvifanya VICOBA kuwa mbadala. Thanks, nimejifunza kitu.

VICOBA vina- operate hata mjini ndugu, hii nikutokana na commercial bank, kuwa na riba kubwa, dhamana/collateral kwa ajili ya kupata mkopo. Sio wote waliopo mjini wanaweza pata dhamana inayowezesha kupata mikopo benki, hii ni miongoni mwa sababu za kuanzishwa kwa Vicoba.
 
Nimeanza kufuatilia Mada kuhusu vicoba hivi karibuni. Nimebaini mijadala kuhusu mada hii kuhusu uanzishaji na uendeshaji wa vicoba imeishia 2017. Naweza kupata mdau wa kunisaidia kupata literature kuhusu kuanzisha na kuendesha kikundi cha vicoba? Nikipata contact ya mtaalam anayeweza kunisaidia itakuwa bora zaidi. Mimi naishi Dar, Wilaya ya Kinondoni.
 
Kuna MTU anajiita yemco instagramuni huko mcheki,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashauri wale mnaotaka kuanzisha VICOBA, muachane na mpango huo na badala yake muanzishe vikundi vya kijamii vinavyofanya kazi kwa urahisi zaidi. Anzisha kikundi cha HISA ambacho muda wake wa kufanya kazi unaeleweka na mambo yakienda kombo mtu unachomoa kilicho chako unaendelea na mambo mengine. Ila kiukweli vikundi vya HISA vinazalisha sana hela kwa sababu mtu analazimika kuwekeza kila wiki na kama program itaenda hadi miezi 12 kuna uwezekano mtu akawekeza Tshs. 1,000,000/= na mwisho wa mwaka akapata zaidi ya 2,000,000/=.
Hii program nimeanza nayo kuifundisha wakati ikiitwa SILK; baadaye ndo ikapanuka na sasa naona inawasaidia wengi. Mwenye maswali kuhusu kikundi cha HISA anaweza kuniuliza lakini VICOBA ni mpango wa mtu mmoja ambapo mwisho wa siku anapata faida kubwa. HISA hakuna anayemnyonya mwenzake hata siku moja.
Kila la kheri.
 
Kikundi cha hisa ndo kikoje, na kinasajiliwa chini ya mamlaka gani au sheria gani?
 
Wandugu habarini, nimefuatilia mjadala vema. Sisi tulikutania haha JF na tukaanzisha kikundi. Tumeshafungua akaunti na mpaka sasa kuna ongezeko la 3500 kwa kila hisa moja. Hisa inauzwa 5000 na unaweza nunua 1 mpaka 5 kila wiki. Mwezi wa tano tunakamilisha mwaka. Vikao viwili tunafanyia watsap unaenda kwa wakala wa nmb unaingiza pesa ya hisa zako kama ni elfu5 au elfu 25 halafu unapost kwa watsap Grup hiyo receipt, vikao vingine viwili tunakutana physically Viwanja vya saba saba maonesho kwaajili ya kupanga mikakati zaidi. Kikubwa hakuna anayetunza pesa, pesa inakaa benki hata kiingilio kinalipiwa bank na kila siku nmb inatutumia estatement kutuonesha balance na inawekwa kwa grup wote tunaona. Zaidi ya yote hakuna ubabaishaji katiba inafuatwa hadi nukta. Kwa atakayehitaji uanachama anicheki kwa 0778800369 ili nimtumie katiba aisome vizuri akiridhia kiingilio ni elfu 30, italipiwa benk kwenye akaunti ya kikundi moja kwa moja. Kuna nafasi 13 ili ifike ukomo wa katiba watu 25. KARIBUNI (mkopo ni mara tatu ya hisa zako) Dar es salaam kwa wa mbali au wanaokosa muda wa kuhudhuria vikao physically wanaandika barua ili wasiathiri akidi ya vikao; watsap ni lazima.
 
Back
Top Bottom