Recent content by Umojaaaaa

  1. Umojaaaaa

    Mtu mweusi amepigwa na Polisi nchini Ufaransa (Kama George Floyd)

    Itakuwa na maadamano kubwa kesho
  2. Umojaaaaa

    Mtu mweusi amepigwa na Polisi nchini Ufaransa (Kama George Floyd)

    Sielewi kiswahili kizuri. Lakini mtu huyu ni mweusi sijui jamaa yake
  3. Umojaaaaa

    Mtu mweusi amepigwa na Polisi nchini Ufaransa (Kama George Floyd)

    Utazame marejeo ya Twitter 10Milioni views. Ulitazama video tu, lakini utazame Twitter sasa hivi. Matokeo si kama George Floyd kwa kamilli
  4. Umojaaaaa

    Mtu mweusi amepigwa na Polisi nchini Ufaransa (Kama George Floyd)

    Kylian Mbappe alisema "acheni ubaguzi wa rangi" nchini Ufaransa kwenye Twitter
  5. Umojaaaaa

    Mtu mweusi amepigwa na Polisi nchini Ufaransa (Kama George Floyd)

    Polisi amepigwa raia mfaransa mweusi. Kutakuwa na maandamano makubwa ya weusi mjini Paris kwa sababu polisi walipigwa weusi wengi mwaka huu
  6. Umojaaaaa

    Mtu mweusi amepigwa na Polisi nchini Ufaransa (Kama George Floyd)

    Mimi ni Mfaransa na nchini yangu Askari Polisi walipiga mtu mweusi na walimsema "Sale nègre" (Mtu mweusi chafu). Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter Marejeo :
  7. Umojaaaaa

    GE2020 SADC yaipongeza Tanzania kwa kuendesha Uchaguzi halali

    Wazungu ni mashetani. Waafrika ni ndugu zetu
  8. Umojaaaaa

    Uganda - Tanzania pipeline is not Economically viable

    Mbona watu hawataki Afrika inashiriki
  9. Umojaaaaa

    Museveni visit to Chato

    Kwa kiswahili tafadhali
  10. Umojaaaaa

    Sudan Kusini kufungua shule kuanzia leo, mimba kwa wanafunzi zaongezeka

    Tunapenda Sudan Kusini. Ni nchi kwa historia yenye mambo mengi. Jumuiya ya Afrika Mashariki itasaidia nchi hii.
  11. Umojaaaaa

    Naufananisha Uwanja wa Ndege wa Chato na Ofisi ya Spika ya Urambo

    Napenda John Pombe Magufuli, rais bora baada ya Mwalimu
  12. Umojaaaaa

    DR Congo: Watu 58 wafariki katika mashambulizi mawili, waasi wa ADF washukiwa kuhusika

    Sitaki Kongo inaingia Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mashambulizo mno katika nchi hii !
  13. Umojaaaaa

    Wimbo wa Taifa wa "Umoja wa Afrika"/kwa Kiswahili

    Maneno ni tafsiri ya wimbo wa taifa wa Umoja wa Afrika kwa kiingereza
  14. Umojaaaaa

    Wimbo wa Taifa wa "Umoja wa Afrika"/kwa Kiswahili

    Ni wimbo wa taifa wa Afrika. Kuna wimbo wa Jumuiya Afrika Mashariki pia kwa kiswahili
Back
Top Bottom