Recent content by ummu kulthum

  1. ummu kulthum

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninavyoishi mimi na mke wangu

    Atakuwa anatifuliwa sehemu vizuri sana.we jione mnjanja tu
  2. ummu kulthum

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife baada ya kuufahamu mchepuko kanipa 'Big up'

    Mmmmmh ikifika zamu yako utalia na mito kitandani, wanawake hatutabiri na ngumu kutusoma
  3. ummu kulthum

    JamiiForums Tanzania Ukipewa kazi ya kutunuku vyeti hapa JF kwa uchangiaji wao utampa nani?

    mbona mie simo mtoa mada nina hoja
  4. ummu kulthum

    JamiiForums Tanzania zubedayo_mchuzi ndani ya Nyumbaaaaa.....Arabela upo wapi.....??????

    ivi lkn mwenyekiti muda wk si ndo umepita ivyo
  5. ummu kulthum

    JamiiForums Tanzania zubedayo_mchuzi ndani ya Nyumbaaaaa.....Arabela upo wapi.....??????

    miss u long tym kitambo
  6. ummu kulthum

    JamiiForums Tanzania zubedayo_mchuzi ndani ya Nyumbaaaaa.....Arabela upo wapi.....??????

    we upo mbona umeshakaa ivi achia kiti hicho tushakuja wenyewe chezea nyota ww
  7. ummu kulthum

    JamiiForums Tanzania zubedayo_mchuzi ndani ya Nyumbaaaaa.....Arabela upo wapi.....??????

    kisha olewa huyu mie mwenyewe kimnya maana naona nyota nyota
  8. ummu kulthum

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiiraq

    jamaniiiii eeeeh wairaq wapo poa sana ila kwa kuwa samaki mmoja akioza kwenye tenga huwa wote wanaoza hawana budi kukubali japo kwa shigo upande.
  9. ummu kulthum

    JamiiForums Tanzania Nimekoswa kupigwa ndani ya gari Eti mimi ni mwizi

    Pole kwa kuepuka kipigo cha wananchi wenye hasira kali
  10. ummu kulthum

    JamiiForums Tanzania Happy islamic new year/weka salamu zako hapa

    Furahia kwa kuomba na kuswali ili Allah s.b.w atuwezeshe kuufikia na mwingine.inshaalah!
  11. ummu kulthum

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema hayo macho hufai kuwa kwenye tv

    Dahhh nahisi kulia.........
  12. ummu kulthum

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema hayo macho hufai kuwa kwenye tv

    Asiyeumba haumbui kamwe nawashangaa sana mnaosema mbaya, na kabda hujafa hujaumbika mleta mada hata wewe hujakamilika.zama ni mzuri na kipindi chake anakipatia.
  13. ummu kulthum

    JamiiForums Tanzania Nimesoma na kuhitimu uhasibu kwa ngazi ya cheti

    Hahaha umesema nimeongea madini na hakuna chochote chenye thaman ukitoa uhai ni madini kwa hiyo nipo juu!makofi kwangu tafadhali.
  14. ummu kulthum

    JamiiForums Tanzania Nimesoma na kuhitimu uhasibu kwa ngazi ya cheti

    Wote wangekuwa walimu wa shule ya msingi nani angekuwa mpiga debe,mama ntilie na nakadhalika?
  15. ummu kulthum

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananipenda lakini nimemzidi miaka saba!

    mchuma janga hula na wa kwao,werevu watanielewa
Back
Top Bottom