Dhuruma zimezidi, wazalendo tusimame imara, nguvu ya umma itumike, kusubiri miaka mingine mitano ni kutojua wajibu wetu kwa kizazi kijacho, tutaendelea hivi hadi lini??? Dr. Slaa tunasubiri tamko lako, umetufumbua macho, maovu mengi ya viongozi wetu tumeyaona na tunaendelea kushuhudia, nchi na...