Elections 2010 Kahama: CCM aibu kubwa

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
nimeongea na mtu wangu wa ukweli kaniambia chadema kahama imefanya vizuri mno!!! kata zote. unakuta chadema 200, ccm 20 au 15, huo ndio uwiano. hureeee!!!
 
nimeongea na mtu wangu wa ukweli kaniambia chadema kahama imefanya vizuri mno!!! Kata zote. Unakuta chadema 200, ccm 20 au 15, huo ndio uwiano. Hureeee!!!

ba kong'wise mleninha raha gete!!!1
 
Kituo namba 007490 moa kimara



Matokeo



Urais



Chadema-109



Ccm-52



Cuf-3



Spoiled-1



Ubunge-ubungo



Chadema-114



Ccm-40



Cuf-6



Up-1



Tlp-1



Spoiled-1



Diwani kata saranga(kimara)



Chadema-95



Ccm-62
 
Matokeo SUA Morogoro
Yafuatayo ni matokeo ya kura YA Urais iliyopigwa katika Campus ya SUA (Main) kwa vyama viwili muhimu



...
GUEST WING A



CHADEMA= 44



CCM = 44




GUESTWING B



CHADEMA = 64



CCM = 56




MULT-PURPOSE HALL A



CHADEMA = 54



CCM = 31




MULTI-PURPOSE HALL B



CHADEMA = 62



CCM = 50




MULTI-PURPOSE HALL C



CHADEMA = 64



CCM = 47
 
Matokeo zaidi arusha
Arusha Mjini
kata ya Kaloleni :
Kituo 1

...

urais



ccm - 59,



chadema - 152,




ubunge



ccm - 54,



chadema - 113,



cuf 4,




udiwani



ccm - 52,



chadema - 105,



cuf - 12.




Kituo 2,




urais,



ccm - 76,



chadema - 119,



cuf - 2,




ubunge,



ccm - 71,



chadema - 120,



cuf - 2,




udiwani,



ccm - 70,



chadema - 108,



cuf - 11,



TLP - 4,




Kituo 3,




urais



ccm - 67,



chadema - 104,



cuf - 1,




ubunge



ccm - 62,



chadema - 109,



cuf - 0,




udiwani



ccm - 67,



chadema - 97,



cuf - 2.
 
Jamani safi sana, japo wasomi wa SUA wametuangusha. Hawakupata ushauri kutoka kwa wenzao UDSM?
 
Matokeo zaidi kutoka mbeya




...Mbeya mjini



kalobe sec 1



Dr=109



Jk=97




ubunge



sugu=119



ccm=80




kalobe sec 2



Dr=107



Jk=76




kalobe sec 5



Dr=93



Jk=85




ubunge



sugu=112



ccm=67
 
Matokeo zaidi kutoka mbeya




...Mbeya mjini



kalobe sec 1



Dr=109



Jk=97




ubunge



sugu=119



ccm=80




kalobe sec 2



Dr=107



Jk=76




kalobe sec 5



Dr=93



Jk=85




ubunge



sugu=112



ccm=67
hapo kwenye nyekundu umenifurahisha sana nafungua shmpeni ya kwanza alaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
:rip::rip::rip:ccm
 
Ninasubiri kujulishwa tarehe kuapishwa kwa Raisi wa tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania...........................................
 
Na kutoka jimbo la Kahama nimeambiwa kwamba katika viti vya udiwani Chadema hadi sasa wamechukuwa kata mbili na CUF moja, CCM sifuri.
 
Jamani safi sana, japo wasomi wa SUA wametuangusha. Hawakupata ushauri kutoka kwa wenzao UDSM?


Mkuu hebu angalia hayo matokeo vizuri toka SUA. CHADEMA wameshinda japo kwa ushindi mwembamba. vijana wachache waliopo wamejitahidi.
 
Back
Top Bottom