Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

May the almighty god help masha to recover soon, after all he is too young to die.tunamuomba mora amponyeshe ili ashuhudie mabadiliko ya nchi yake.
 
Wasukuma hawana mchezo yaani hata Diallo wa Star TV wamemwaga kweli safari ya ukombozi imeiva!!!
 
Apone haraka ili atambue kuwa demokrasia hainunuliwi kwa fedha, watanzania wameamka sasa "KULA CCM KURA CHADEMA". Masha alimwaga fedha nyingi sana, na kwa maisha yake atazipata kwa tabu sana. Arudi tu kwenye law firm yake au acharukie marekani alikokuwa. Hana haiba kabisa, kwanza aje hapa atueleze kampuni yake na wenziwe walifaidikaje na hela ya EPA, DEEP green etc. Yaani pesa zile ndizo anaendelea nazo kutesa kwa kununua demokrasia? Watanzania walio wengi sasa wanasema "HATUDANGANYIKI".

Hali ya Kula huku, Kura kule imejitokeza pia Shinyanga (nimepigiwa simu). Kuna jamaa mmoja wa TRA aligomeba Udiwani (CCM) na mwuuza maji (CHADEMA), Mwuza maji kaibuka kidedea; CHANGE HAS COME.

CHADEMA (hardly std 8) na CCM (hope graduate) hali kadhalika; Graduate karushwa mbali haina maelezo...


PESA HAINA NAFASI TENA!
 
mie nawashangaa sana wanaoshindwa lakini wanataka kulazimisha tu, kwani kabla hawajawa na mivyeo hiyo walikuwa wanafanya kazi gani? unasign na kurudi mtaani maisha yanaendelea. huwezi tawala milele,halafu unaotaka kuwatawala hawakutaki. sign masha
 
Hawaamini kuwa kura ndio inawaweka kazini, but this time they have to understand that !!!
People's power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyo ni mwehu, alisahau kuwa lazima arudi kwa watu! Nishasema lazima watu wafundishwe adabu mwaka huu.

Mimi nasubiri tu waapishwe. Raaaaaaaaaaaaaaaaaaaaha kwelikweli hasa uonapo mabadiliko chanya kama haya
 
Inaelekea thithiem wameamua/wamekubaliana kung'ang'ania kubaki madarakani kwa kuyakataa matokeo na hivyo kutosaini form ya matokeo. Inaelekea kuna trend hapa maana Masha, Diallo na Batilda wameshayakataa matokeo.


Masha, Diallo na Batilda jameeeni hii ndiyo demos [Watu] kratos [nguvu, power], kuendelea kung'ang'ania kubaki madarakani ni kujidharirisha na kuonyesha ni vipi hamna ufahamu wa mambo haya. watu wameamua na kuchangua viongozi wao, basi mkubali msaini ili yaisheeee!
Na huu ni mwanzo tu kazi inakuja. la lotta continuaaaa!:israel:
 
Apate nafuu na aishi miaka mingi ili achuhudie kwa macho yk mwenyewe mabadiliko ya dunia hii.
Mabadiliko yanawezekana
 
Monica Mbega naye hali yake kiafya si nzuri, helicopter inamuhamishia Dar

jamani acheni kuzua, haya yana ukweli? Mhhh lakini uchaguzi wa mwaka huu utaua wengi sana. na bado si walijisahau. jamani marupurupu ya wabunge yapungue yatawamaliza watu
 
CCM wanachelewesha matokeo ili vurugu zitokee ila wachakachue matokeo
Mpaka sasa Mwanza nako hakuja tolewa matokeo (Ilemela na Nyamagana)
 
Taarifa kutoka Mwanza inasemekana kuwa Masha kakimbia Mji halafu katoa taarifa kuwa yuko Bugando Kama vipi wampelekee hayo makaburasha na asign huko huko, pia kwa taarfa zisizo rasmi kwamba Masha kakibilia DAR au kaja kusafisha safisha meza yake maaana Meli yake imesha zama kabisa.
 
Back
Top Bottom