hapo bwana nyerere utakuwa inakosea sasa ukiondoa utakuwa unamkosoa nani mm ninavyojua kwasasa nchi ipo mahali pabaya sana hivyo bwasi wewe mwenyewe umesikia kilicho tokea arusha hivyo basi tunge acha kwanza hili tulilo kuwa tunajadili ili tusije kuleta uchochezi usiyo kuwa na lazima maana kuna...
Jamani mimi nazani mmeelewana tuachane nahii mada huku inako elekea ndiyo yata chochea vita vya wenyewe kwa wenyewe nani haijui ccm nani haijui chadema kwani vilianza leo jibu ni hapana hebu tujadili nijinsi gani tunavyo weza kupata hela leo na kuziendesha family zetu
Mm bwana nyerere sikuungi mkono hata kidogo wewe mmh ccm itaendelea kudumu milele na milele fanyeni mnavyo jua kufanya lakini ccm itadumu tu hicho mnacho ringia kwa sasa hakita kuwepo kama mnavyo fikiria ulizeni kulikuwa na chama kina washabiki kama nccr mageuzi kipo wapi sasa kimekuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.