JK na CCM wamevunja KATIBA ya NCHI?

Geita kinana kagawa vibali vya uchimbaji madini, hii ni kazi yake jamani?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama kuna jambo lilinishitua, basi ni hili la kinana kutoa lesseni za uchimbaji madini kwa kweli hapa ndo sijaelewa kitu kabisa. Nafikiri haya ndo matokeo ya nchi kuongozwa na serikali dhaifu.

Watanzania tunatakiwa kuamka, tuikemee kwa nguvu zote tabia hii ya ccm na serikali yake,

Hii ni hatari kwa ustawi wa demokrasia nchini
 
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi leseni za wachimbaji wadogo machimbo ya Mugusu, Geita, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo mkoani Geita. Jumla ya leseni 21 zilikabidhiwa kwa wachimbaji hao baada ya kutolewa na serikali ili kuwwezesha wachimbaji wadogo nao kunufaika na madini badala ya wachimbaji wakubwa tu.

Kwa walipofikia.. ciwezi kushangaa.. nadhani kuna mengine mengi tu watakuja nayo.. They'r desperate.. Wameua haijatosha.. wamesema uongo haujawasaidia.. Leo Kinana & co wamekuja na strategy hii ya kupoka madaraka ya serikali..
 
Nadhani ccm hawajui athari za wakifanyacho,

Watendaji wa umma wanaweza kuanza kususia kufanya kazi za umma!
 
Back
Top Bottom