Recent content by Uloi nga mâché68

  1. U

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli Afanya Mazungumzo Na Shein Leo Ikulu

    Kurudia lazima. Hawezi kushinda Kamwe. Watu wanataka Maendeleo siyo maandamano
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi Magufuli kum-attack Kikwete kuliko Lowassa

    wewe ni ----- sana. Magufuli kachaguliwa na wananchi. Lowassa mroho wa madaraka anahusikaje na urais wa jpm!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Kinga gani? Jinai haina kinga!
  4. U

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea alipaswa kuungwa mkono hata na Rais Magufuli

    Kubenea tangu lini Msemakweli? Aliandika lowassa hasafishiki kwa miaka minane(8) ghafla akatuambia Lowassa Malaika? Aibu kweli!
  5. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Acha Stori za Vijiweni wewe,! Lowassa hakushinda. Aliwadanganya ameibiwa kura kujitoa aibu ya kukataliwa na wananchi wenye mapenzi mema na Nchi yao!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Kasema atazunguka Nchi sijui kuwashukuru wananchi kwa kutomchagua! Simuelewi ujue! Uchochezi gani huu!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi asitisha zoezi la bomoa bomoa

    Bora CCM itawale milele kuliko fisadi fulani!
  8. U

    JamiiForums Tanzania Anguko la Jose Mourinho limfundishe kitu Magufuli

    Mawazo ya viroba haya. Au wewe Bavicha??????
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Lowassa kisiasa kiko mbali sana

    Lowassa tulishamsahau kitambo sana! Kwani Ana wadhifa gani Huko CHADEMA Siku hizi?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni aibu sana kuishabikia CHADEMA siku hizi?

    Chadema imeshafariki bado kuzikwa tu 2020
  11. U

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Kwa Chama cha Ukanda na Ukabila kushinda Kwao siyo habari ya kuleta hapa
  12. U

    JamiiForums Tanzania Natamani kukutana na Dr. Slaa baada ya uteuzi wa baraza la Magufuli

    Wewe BAVICHA una upeo finyu sana! Unamjua LOWASSA vizuri? Ndio umlinganishe na Muhongo na Mwakyembe???? ACHA MAPENZI YA KIJINGA!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli hajawahi kutamka neno Escrow kinywani mwake?

    Mtoa mada ni lofa
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    Muhongo aliwajibika kisiasa tu. Hakushiriki kuiba
Back
Top Bottom