Recent content by Ulimbo

  1. Ulimbo

    Sakata la Mbunge Luhaga Mpina na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Vikao 15

    Yaani badala ya kumwadhibu Bashe kwa kusema uongo, wanamwadhibu aliye sema kweli? Hii ina maana kuna mkono wa mtu mkubwa kwenye huo ufisadi
  2. Ulimbo

    Mrisho Gambo: Ninao ushahidi wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless Lema

    Ghambo tunamjua, na anajipendekeza sana kwakina mama wa samunge sokoni. Yeye anafikiri hao kinamama wote ni wapiga wake.
  3. Ulimbo

    Mrisho Gambo: Ninao ushahidi wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless Lema

    Je ajasema chochote kuhusu makonda kuwa anadaiwa magari?
  4. Ulimbo

    Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    Apewe zawadi heti kwa sababu tu Baba yake alishawahi kuwa Rais, au kuna kitu huyu binti kafanya cha ziada hadi apewe zawadi? Jamani tuache kujipendekeza.
  5. Ulimbo

    Mafua na kikohozi vimezidi tumia njia hii

    Umetoa elimu nzuri, lakini naona wewe ulitaka kututangazia kuwa unauza asasali na si kutupa elimu.
  6. Ulimbo

    Sikujua kichaa anayelala nje ya jengo langu ni mpelelezi anayemtafuta gaidi wa Kizungu niliyemuoa bila mimi kujua ni gaidi

    Hivi hii story yako umetunga mwenyeweau umekopi mahali fulani ukatuwekea humu, maana naona sehemu nyingi ukekuwa ukikopi na kupest tu
  7. Ulimbo

    Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

    Utalinganisha hayo mabox na Scania? Ni vizuriujue kuwa rahini ni aghali.
  8. Ulimbo

    Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

    Kwani Scania na Howo zimetengenzwa tu kwa ajili ya mchanga na kifusi? Vipi kwenye hizo industry nyingine zikoje?
  9. Ulimbo

    Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

    HUSITEGEMEE JINO LENYE AFYA KWENYE KINYWA KILICHOOZA
  10. Ulimbo

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Hebe msikilize huyu mzee anachokisema. https://youtu.be/CA_7Rnyy9zc
  11. Ulimbo

    Makonda: Sitamsaliti Hayati Magufuli hata niwekewe bastola

    Alikuwa wapi siku zote? Leo kapata mkate ndo anaende na kulia kwenye kaburi? Huyo mbali na bastola, mkate tu utamfanya amkane Magufuli.
  12. Ulimbo

    Matatizo katika mitandao ya simu

    Voda na tigo.Hiyo mingine sijui sana maana si mfuasi wao kivile.
  13. Ulimbo

    Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

    Haya ni matatizo ya watu kukurupuka ili mradi tu aonekane ameleta uzi
Back
Top Bottom