Recent content by ulimbo lunopo

  1. U

    Waandishi&Watangazaji wa Habari&Katuni

    Ebana kuna fina mango wa makutano
  2. U

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Wapigeni tu,piga kabisa, piga sana- mh mizengo pinda , waziri mkuu jmt
  3. U

    Wazanzibar wafunguka kuhusu Dr. Slaa; Wamesema hana sifa za kuwa kiongozi bora!

    WAZANZIBARI WATAPATA NCHI YAO SOON! So ni kweli DR SLAA SIO MZAWA WA ZENCHI ndo mana hawez kuwa rais wa zench
  4. U

    Viongozi Wasiotaka Kutekeleza Ilani ya Serikali Tawala ya CCM Wajiondoe Sasa!!

    sasa watekeleze ahadi zisizotekelezeka! SHAME ON U!! Le mutuzi iv NANI ANAYEVAA JEZI ZA MAGAMBA KWA HIYARI ESPECIALLY VIJANA!!! Huo ni mwanzo tu huu mperampera adi 2015! PIPOOOOOZ!!!! Lemutuz malizia
  5. U

    Muhimu: Kulinda ajira za wazawa Tanzania...

    nape acha uku*****mawewe na magamba wenzako si ndo mnashindwa kusimamia sheria.. NINA UHAKIKA SISI VIJANA TUNAKWENDA KUFANYA REFOMATION 2015 KUTOKOMEZA UHAINI WA MAGAMBA
  6. U

    msaada jamani!! Naombeni mwenye key za JAVASCRIPT SLIDESHOW SOFTWARE

    jamani naombeni mnisaidie key za iyo software JAVASCRIPT SLIDESHOW
  7. U

    Mgogoro wa ushuru Jimbo la Lukuvi

    yani unategemea lukuvi aje akutetee! Yule sasa hiv anahangaika na mikakati ya kuiba kura 2015
  8. U

    King of RnB Tanzania Rama D aja na bonge la collection

    Akina ben paul wanabebwa sana na wafu, but in fact they got nothi'n compared to rama dee! Kep t up the king of rnb in tz,
  9. U

    CHADEMA yapata pigo kali Nbeya -365 waenda CCM

    una elimu gani ndugu mjimpya,, darasa la saba ulihitimu?
  10. U

    CCM na serikali tatu: Don't shout, argue! Hoja hizi hapa, zenu ziko wapi?

    Yani unategemea hoja kutoka kwa hamy d, akina RITZ, LUMUMBA PROJECT,,wao wanawaza ds slaa tu,
  11. U

    Mahudhurio rasmi mkutano wa Mwigulu Nchemba jijini Dar es salaam

    jamani hamy d yuko wap?? Ritz je?!
  12. U

    Nategemea kupeleka hii Hoja yangu binafsi Bunge la August 2013 kuhusu Ajira kwa Vijana

    kwa hilo nko pamoja na mwigulu!!JAPO UNATUHADAA , UNAPELEKA HOJA AMBAYO SERIKALI YAKO HAWAWEZI KUITEKELEZA!!
  13. U

    Mkutano Mkubwa Wa Hadhara Mwenyekiti Wazazi/CCM Mbeya Leo:- Wanachama 365 wa Chadema Warudisha Kadi.

    uyu bonge kweli ameamua kutufurahisha wanajamvi!! Watu unaowasema wako wapi! EDELEA KUEDIT UJE UTUDANGANYE TENA!! Mwenye picha za mkutano wa lema mbeya vijijini juz juz apa naomba aziweke hapa!! AIBU YAKO BONGE!!
  14. U

    Huu ndio uchafu wa utawala wa CCM

    wanajamvi tusimjadili huyu maskini mmoja wa fikra sijui shaabani! Tujadili hoja iliyopo mezani!, ndugu yangu wewe hapo sio habari ya chama! Its all about tanzania. Wake up my friend
Back
Top Bottom