King of RnB Tanzania Rama D aja na bonge la collection

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,816
Jamaa kasema yupo katika hatua za mwisho za kuachia albam yenye mchanganyiko wa nyimbo zake zote kali,
albam itakuwa na nyimbo 13 zikiwemo
1.KIKAO CHA FAMILY
2.NAJUA
3.MAMA WATOTO
4.SIO WAOAJI
5.MAKEUP
6.WANAHOFIA
7.SARA
8.KUWA NA SUBIRA ft Mapacha
9.KAMA HUWEZI ACHA ft jide
na nyinginezo...
Kuna watu wanamfananisha na Ben paul huyu jamaa ila kiukweli kibongobongo hana mpinzani kwa hakika
 
Radio ya wafu hawapigi nyimbo zake sijui kwanini!
Ila geto wanasikiliza dah.!fitna mbaya sana
kuna siku nilimsikia zamaradi akiimba KIKAO CHA FAMILY nikamuuliza kwanini hamupigi redioni kama mnazipenda?akajibu kipindi chake hakiruhusu nkabaki hoi
 
Ndio nani huyu , weka picha yake
Jina hujawahi hata kuliskia hiyo sura utakuwa umeionea wapi?
Jamaa ni mwanamuziki wa tanzania anaimba RnB na mara nyingi anatengeneza chorus za hiphop,amefanya kazi na kina Mapacha na wanaHipHop wengine kadhaa.
 
Rama dee ni kati ya wasanii wanaojifanya wanaharakati lakin hawana maendeleo kutwa kupanda bajaji na bodaboda
 
Hata mimi pamoja ubishi wote niliyonao lakini huyu jamaa nimemkubali sana yaani anaweza!
 
Acha shobo usiropoke kama hujui mambo Rama D yupo zake mtoni umemuona wapi na boda boda? Bora uwe fukara wa mali lakini upewe akili inayofanya kazi vizuri!majungu hayasaidii!

Mtoni anabeba mabox mkuu usibishe wakati mimi nakaa naye jirani now yupo hapa ttz full bajaj na bodaboda na rafiki zake mapacha asikudanganye mtu pesa ndio kila kitu
 
Huyu ni mfalme DullyJr si bongo tu yaani Africa Mashariki na kati,kila ukinikuta huwa ninasikiliza tu album yake ya Chini ya uvungu

wa moyo wangu kuna wimbo unaitwa Nipende siyo wa kukosa humo.

Jamaa kasema yupo katika hatua za mwisho za kuachia albam yenye mchanganyiko wa nyimbo zake zote kali,
albam itakuwa na nyimbo 13 zikiwemo
1.KIKAO CHA FAMILY
2.NAJUA
3.MAMA WATOTO
4.SIO WAOAJI
5.MAKEUP
6.WANAHOFIA
7.SARA
8.KUWA NA SUBIRA ft Mapacha
9.KAMA HUWEZI ACHA ft jide
na nyinginezo...
Kuna watu wanamfananisha na Ben paul huyu jamaa ila kiukweli kibongobongo hana mpinzani kwa hakika
 
jamaa mzuri ila kashndwa ku savaivu kwenye game..
Uzuri wa msanii kazi.
Kafunikwa mbali sana na BEN POL
 
Back
Top Bottom