Recent content by Ulimba

  1. U

    Saba saba mwaka huu vipi?

    Ndugu zangu kama kuna taarifa zozote tupeane hapa kama kuna kazi za muda mfupi katika maonyesho wa biashara maarufu kama SABA SABA 2014
  2. U

    Vijana njoo tujiajiri - hebu soma hapa

    Hakika ajira ni sawa na hakuna hapa nchini kwetu baada kuona hilo nimethubutu kusajili company yangu - which is a full-oriented service provider, dealing with venue organization, management and consultation of a variety of events. Also to provide sound solutions by providing temporary and...
  3. U

    Bongo flavor- punguza maneno makavu - maoni

    Napenda kutanguliza pongezi kwenu wasanii wa kizazi kipya a.k.a Bongo flavor kwa kazi nzuri ya muziki mnayoifanya kila siku hasa kwa kuielimisha jamii hasa kwa Watanznia na ulimwengu kwa ujumla. Mimi ni mdau wa muziki japokuwa napenda nikiri kuwa sifahamiki sana kwa wanamuzi ni wachache sana...
  4. U

    Asante kwa kunikaribisha!!

    Dear all Nimetanguliza shukrani kwa kuzingatia maadali ya kitanzania huwa mgeni kawaida hakataliwi, UPO?
Back
Top Bottom