Recent content by Ulanziwangombe

  1. U

    JamiiForums Tanzania mkapa hakusema watanzania wapumbavu bali chama video

    Kwa kweli hili mnalo na litawasumbua sana hii ndio siasa. Nimegundua kumbe ukiwa mtu mkubwa hutakiwi kujibu kwa jaziba. Lazima litawagharimu tu.
  2. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Kwa kweli kufa kubaya lazima ujitahidi kujitetea hata kama unaona haiwezekani. Kweli mfa maji haachi kutapatapa. Poleni sana mwisho umeshafika hatuna jinsi lazima msome namba mwaka huu.
  3. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Kama hivi ndio vifaa vya jeshi vinavyotishia amani basi mwaka huu kuna mtu atajifungua mtoto. kama si kujifungua basi atajambijambi sana.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Njombe: BVR yakwama tena, rushwa yatawala vituoni

    Tangia nianze kupitia thread humu ndani sijawahi kuona mtu ambaye ni mav. kama wewe
  5. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    Naomba nikuoe nitakuoa hivi hivi hata kama ni CHANGU D.
  6. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    Unajua siku zote nilikuwa ninafikiria kuwa hupendi mambo ya CCMkumbe sio kweli. Kumbe ni mnazi sana wa CCM. Ndio maana nilikuwa ninapenda kusoma post zako kumbe ni hivyo.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji mpya wa daftari la kudumu la wapiga kura: Naruhusiwa kuhama kituo cha awali?

    Sheria inakuruhusu hii ndio maana ya kuboresha daftari. Ikiwa ni pamoja na kama umebadilisha makazi unajiandikisha mahali pale ulipo.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

    Tafadhali BIG SHOW tuonyeshe kifungu gani cha sheria au katiba kinatambua mahakama za kanisa na zinagharimiwa na serilikali. Usipofanya hivyo tutakuona sawa na mav. tu.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nimewafukuza Polisi waliopanga kwenye nyumba yangu

    jana wewe nilikuambia ni mav. Unatunukia tu hapa.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, January 28

    Kwa KWELI HUMU NDANI TUNA MAV.
Back
Top Bottom