Umetoa changamoto nzuri lakini ya kukandia wajasiriamali wadogo. Mtu anaweza kuwekeza kwenye hivyo vitu unavyoviona wewe vya ovyo na akatoka sana kimaisha kushinda wewe na elimu yako na mawazo makubwa makubwa! Kazi ya elimu ni pamoja na kukuwezesha kuboresha hali ya chini ya maisha/utendaji kuwa...
Nimetuma pesa kwenda tigo pesa lakini nikapata ujumbe kutoka m-pesa "Samahani, muhamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi. Tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja".
Cha kushangaza pesa imekatwa!! Nimepiga 100 huduma kwa wateja, nimeishia kuboreka tu! Hakuna chaguo la kuongea moja kwa...
Mtu mwenye determination na kujua umhimu wa hicho unakifanya huwezi kutishwa na watu wenye njaa...hata wakati wa kuanzishwa kwa vyama vingi wengi walitaka kibaki kimoja, lakini viongozi mahiri waliona mbali wakasema hapana lazima, dunia inabadilika tuwasikilize hawa wachache ili kipanua wigo wa...
Aliboronga alipoikosoa kwa mbwembwe rasimu ya katiba ya tume ambayo yy mwenyewe aliiteua ikakusanye maoni ya watz ili tupate katba mpya. Adha zote tunazopata na tutakazoendelea kuzipata kwa kukosa katiba mpya ni matokeo ya jk kuyashambulia maoni ya watz yaliyokusanywa na tume ya warioba na...
Hatima ya maisha ya kila mmoja wetu ipo kwenye maamuzi yake, lakini pale ambapo maamuzi hayo hayo yatapelekea kuliingizia taifa hasara kwa mfano kupelekea kurudiwa uchaguzi kwenye jimbo, ifike mahali kama nchi tuweke utaratibu wa kuwataka wale wote wanaochukua maamuzi hayo yatakayopelekea...
Hivi kiongozi hawezi kuwa mchochezi?? Mi naamini kiongozi anapotoa lugha za kuwachefua wananchi na wao wakamjibu kwa lugha za kumchefua kiongozi, anayekuwa mchochezi ni kiongozi mwenyewe. Kama kweli usalama wa Taifa wapo kwa ajili ya kulinda amani ya nchi yetu, basi na viongozi wanaowachochea...
Kumekuwa na kero kubwa sana pale, mfano mtu unanunua LUKU kupitia mtandao wa simu, unaanza kufanya mwamala kuanzia hatua ya kwanza hadi ya mwisho na kupata ujumbe kama 'mwamala wako unashughiliwa utapokea uthibitisho hivi punde'. Ukishapata huo ujumbe, hupati tena huo uthibitisho hadi upige simu...
Nadhani kuna mapungufu kwenye sera zinazosimamia makampuni ya mitandao. Kama hata makampuni ya kigeni yanakuja na mwanzo mzuri halafu baada ya muda huduma zinadorora na bado zikaendelea kutolewa zikiwa na mdororo kwa walaji (wateja) bila kutolewa sababu ya msingi ya kudorora kwake, basi...
Tanesco ikiendelea kubaki kama ilivyo, hata angekuja rais mkali namna gani, hata ungeweka watendaji wakuu wachapa kazi kiasi gani, bado ufanisi hautapatikana! Tanesco inatakiwa igawanywe na shughuli zingine zibinafisishwe. Mfano Tanesco ya leo inatakiwa kuwa mzalishaji na msafirishaji tu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.