Recent content by ukwelinauwazi

  1. U

    Wananchi wa Mkuranga, Kibiti wanashirikiana na wauaji, Mwigulu na RC walionya kwamba Operation kali

    Tazama Waziri wa mambo ya ndani na Mkuu wa mkoa wakiwaasa wananchi ambao wanashirikiana na wauji huko Kibiti ( )Mauaji ya wafanyakazi wa serikali na viongozi wa kijiji katika eneo la Mkuranga na Kibiti... Cha kusikitisha wananchi wamekuwa wakikaaa na wauji katika eneo la tukio bila kuwapa...
  2. U

    Mwigulu Nchemba aamuru afisa ardhi wilaya ya Butiama akamatwe kwa kuuza eneo la mnada

    Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba aagiza afisa ardhi wa wilaya ya Butiama ndg.Clavery Bitabile akamatwe mara moja na vyombo vya dola vichukue hatua kwa kosa la kuuza eneo la mnada wa upili(Mnada wa Mifugo) wa Kirumi uliopo wilaya ya Butiama. Mbali na kuuza eneo hilo na kutoa...
  3. U

    Mwigulu Nchemba akutana na Rais wa Vietnam,wafungua fursa kwenye kilimo,mifugo na uvuvi

    Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Vietnam NdgTruong Tan Sang mapema hii leo walipokutana kwaajili ya mazungumzo kuhusu fursa zilizopo katika kilimo,mifugo na uvuvi katika nchi mbili hizi rafiki Katika mazungumzo ya pamoja kati ya Rais wa Vietnam na...
  4. U

    MWIGULU KUREJESHA NDOTO ZA NYERERE ZITIMIE,SHAMBA TAJIRI EA alifikia hii leo

    Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba akiwa na Mbunge wa Makete Mh.Noramn Sigalla wakati alipowasili kwenye shamba la Kitulo ambalo ni moja ya Mashamba makubwa ya kufuga Ng'ombe wa kisasa aina ya Mitamba.Huwa ni mfano wa Ng'ombe wa kisasa aina ya Mitamba wanaopatikana shamba la...
  5. U

    Wizara ya Kilimo kwa mikakati mizito,Taifa linategemea kupaa kiuchumi

    Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mbunge wa Mlimba Bi.suzan Kiwanga(CHADEMA) mapema hii leo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Mgeta-Mlimba.Moja ya mashine za Umwagiliaji kwenye mashamba ya Mpunga ya KPL(Kilombero Plantation Limited) ikiwa...
  6. U

    Mwigulu atumbua jipu SUGU kwa Prof.jay,Aanza ziara ya Mapinduzi ya Kilimo,Ufugaji na Uvui

    Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba akipewa maelekezo na mtafiti wa mbegu kutoka mmoja ya maafisa wa juu wa wakala mkuu wa aghala la mbegu za ASA(Agricultural Seed Agency) Mkoani Morogoro.Mh.Mwigulu Nchemba akikagua mbegu zilizopo kwenye ghala la ASA mkoani morogoro.Mwigulu...
  7. U

    Mwigulu afyeka vigogo waliolamba Bilion 5.7. Sasa kupandishwa kizimbani

    Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi akiwasili kwenye mradi uliodumaa wa Ujenzi wa machinjio ya kisasa wa ranchi ya Ruvu mapema hii leo.Sehemu ya jingo lililobaki kama Gofu mara baada ya kutelekezwa na Uongozi wa Bodi ya ranchi za Taifa(NARCO)Mwigulu Nchemba akishangaa namna mali hii ya Umma...
  8. U

    Mwigulu Nchemba atimua kigogo kwa kuiba ushuru wa Mifugo Mnada wa Pugu

    FMh:Mwigulu Nchemba akiwa ameambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mh:Simbachawene wakiwasili kwenye eneo la machinjio ya Vingunguti kwaajili ya kutoa majawabu kutokana na kero mbalimbali zinazowakabili wadau wa machinjio hayo.Mwigulu Nchemba akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
  9. U

    Mwigulu Nchemba atua Machinjio ya Vingunguti usiku huu, akuta kodi

    Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi,Mh.Mwigulu Lameck Nchemba akisikiliza kero za wadau wa machinjio ya Vingunguti usiku huu wa January 1/01/2016.Mwigulu Nchemba akishuhudia Ng'ombe aliyetayari kwa taratibu za kuchinjwa kwaajili ya kitoweo. Mbuzi wakiwa tayari kwaajili ya kuchinjwa kwenye...
  10. U

    Mwigulu mkono kwa mkono na Naibu Waziri wa Maliasili kutatua changamoto Kagera

    Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la mkutano uwanja wa Mnadani wilayani Ngara kuzungumza naWafugaji/wakulima mapema hii leo.Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Naibu Waziri wa Mali asili Mh.Ramo Makani ambaye waliongozana naye kwenye mkutano huo kama wadau wa...
  11. U

    Waziri Mwigulu Nchemba atoa saa 48 kwa Kampuni ya Sparkway LTD kulipa Bilioni 3.4

    Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mh.Mwigulu Lameck Nchemba atoa saa 48 kwa kampuni ya Sparkway ltd kulipa BIllion 3.4 kwa wakulima wa korosho Mkoa wa Pwani. Kufuatia agizo hio, Wakulima waliouza korosho hiyo wataanza kulipwa Jumatatu ya tarehe .21.12.2015. Agizo hilo kimetoka baada ya waziri...
  12. U

    Taswira: Mwigulu Nchemba alivyoipasua UKAWA kahama Mjini,Msalala na Ushetu hii leo

    Mwigulu Nchemba Mjumbe wa kamati ya kampeni ya Chama cha Mapinduzi akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Msalala Ndg.Maige."Ilani ya Chama cha Mapinduzi imeweka bayana kuwa itajenga Reli ilikurejesha huduma za Kiuchumi zilizosimama kwa muda,Kwa hapa Msalala ujenzi wa Bandari kavu utaanza mapema...
  13. U

    Mwigulu atuma salamu kwa vitendo kwa Lowassa na Vincent Nyerere

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza akimnadi Mgombea wa Jimbo la Bunda Vijini.Mwigulu akizungumza na wanaserengeti amewaomba"Naomba mmchague Magufuli kwasababu tunazo sababu nyingi za kuhakikisha anakuwa Rais wa Tanzania,Magufuli yeye rafiki yake ni Kazi tu,Hivyo wananchi wamchague Mgombea Urais...
  14. U

    Mwigulu Nchemba sasa aongeza speed, atua majimbo 6 Kanda ya Ziwa hii leo

    Mwigulu Nchemba Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Busega Dr.Chegeni mapema hii leo.Mwigulu Nchemba Jimbo la Busega kwa Dr.Chegeni akisisitiza Wananchi kwenda kupiga kura kwa wingi,Hakuna namna CCM itashinda kwa kishindo kama wananchi...
  15. U

    Mchakamchaka wa Mwigulu kata kwa kata huko Simiyu kuomba kura za urais,ubunge na udiwani

    Hisia za Mwananchi katika maandishi "Magufuli Chaguo la Mungu".MwanaCCM akionesha kipeperushi cha Magufuli na Mama Samia Suluhu kuwa ndio Uongozi unaokwenda Kuchaguliwa na Watanzania.Wananchi wapotayari kuchagua CCM kwa nafasi zote tatu(Udiwani,Ubunge na Urais).Mwigulu Nchemba akiondoka Jimbo la...
Back
Top Bottom