Huwezi ukalinganisha CHADEMA na vyama uchwara. CHADEMA ni chama imara ila sasa kinafanya mambo ambayo yatakifanya kibaki jina na kuingia kwenye kundi la CHAUMA, ACT, NCCR n.k. Tanzania inahitaji vyama imara ili tuweze kusonga mbele. Kwa sasa CHADEMA inapoteza mwelekeo.
Nidhamu ya matumizi ni muhimu sana ukitaka kuweka akiba na kuanzisha mradi wa kibiashara utakaokuingizia hela. Ningependa utunze kumbukumbu za matumizi yako na mwisho wa mwezi uorodheshe matumizi yako. Hapo utagundua mahali ambapo hela yako inatumika zaidi. Ukishagundua jinyime. Utashangaa jinsi...
Nina uelewa labda mara mia zaidi yako. Hujaielewa mada na nilichokiandika. Napenda kazi wanayoifanya CHADEMA na upinzani kwa ujumla. Tatizo la CHADEMA wamejichanganya na sasa hivi wanachokifanya ni kujaribu kufurukuta ili wasisahaulike kwenye siasa na chama kikawa kama NCCR ilivyo. Ila kadi...
I know too much of an
I know too much of anything is harmful. JPM government is desperate to fulfill the promises they gave during the campaign. The government is trying to widen the tax base and some of the measures might be painful to the common man. However if the government will spend our...
Naamini JPM ameanza kwa kuchukua hatua za wazi zinazoonekana. Matatizo haya yamekuwepo kwa miaka mingi na itachukuwa muda mrefu kuyamaliza au kuyapunguza.
Ahaaa... baba yupi? Najaribu kujiuliza kama unaweza kutengeneza hoja na kuitetea. Je unaweza ukajieleza na kutoa fikra zako bila kutumia maneno yenye ukakasi? Mara nyingi nimeshuhudia watu ambao ni wepesi wa kuongea pale ambapo lugha ya matusi inatumika na wewe unaonekana ni mmoja wao. Mara...
Nimekuelewa tena vyema sana. Ingekuwa bora kama CHADEMA wangepinga mfumo na siyo kumpinga JPM. CHADEMA wangepaza sauti kutaka katiba ya Waryoba ningewaelewa. Ila kumpinga JPM kama dikteta naona kama njama ya kumchanganya rais ili apunguze kasi ya utendaji kazi aliyonayo kwa sasa.
Sikujui ila ninahisi moyo wako umejaa chuki na hasira. Nahisi huwezi ukatengeneza hoja ndiyo maana unatumia maneno makali. Maneno ni tunda la moyo na akili ya mtu.
Nimekuwa nikijiuliza hivi haya maandamano ya KITAIFA yaliyopangwa na CHADEMA kufanyika tarehe 1 Septemba 2016 yana tija ipi kwa TAIFA?
Je bunge kutorushwa LIVE inasababisha madhara yapi kwa CHADEMA?
Kwenye demokrasia yeyote anayeshindwa uchaguzi aidha hukubali kushindwa au hukataa kushindwa...
Kwa hiyo kwa uelewa wako unaona natetea riziki yangu? Tatizo kubwa la baadhi ya wanachama wa CHADEMA ni kupinga hata kile kisichopingika. Hivi inakuingia akilini pale ambapo mtu anakerwa na hatua anazozichukua JPM kuhakikisha kwamba kodi stahiki inalipwa serikalini? Wewe binafsi unauonaje...
CHADEMA na vyama washirika wanaounda UKAWA wamejikuta kwenye wakati mgumu wa kukosa ajenda baada ya Rais John Pombe Magufuli kuanza kutekeleza ahadi ambazo alizitoa kwenye kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015. CHADEMA na vyama washirika wamekuwa wakipeta sana kwa kuibua madudu ya CCM kama rushwa na...
Nimekuwa nikiumiza kichwa mara nyingi pale ninapotembelea makampuni mbalimbali haswa makampuni ya kigeni ambayo yanafanya shughuli zake hapa nchini. Viongozi wa juu wa makampuni haya wengi ni wageni (expatriates) na Watanzania waliowengi wanashikilia vinafasi vya chini chini tu. Mara nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.