Maandamano ya CHADEMA tarehe 1 Septemba yana tija gani kwa Taifa?

Ukwelimtupu

Member
Nov 21, 2011
36
13
Nimekuwa nikijiuliza hivi haya maandamano ya KITAIFA yaliyopangwa na CHADEMA kufanyika tarehe 1 Septemba 2016 yana tija ipi kwa TAIFA?

Je bunge kutorushwa LIVE inasababisha madhara yapi kwa CHADEMA?
Kwenye demokrasia yeyote anayeshindwa uchaguzi aidha hukubali kushindwa au hukataa kushindwa. Ukikubali kushindwa unatulia na kumwacha mshindi achape kazi. Mshindi akichapa kazi vizuri na kutekeleza mambo yaliyopo kwenye ilani yako, unampongeza na siyo kufanya maandamano nchi nzima.

Binafsi naona kama mikutano nchi nzima na mbwembwe za CHADEMA kwa sasa zinatokana na hofu ya kukosa umaarufu baada ya matatizo yaliyokuwa sugu na kukipa CHADEMA sifa kuanza kushughulikiwa na JPM.

Nawaomba CHADEMA watulie, wajenge CHADEMA kwanza kabla ya kulalamika kuhusu udikteta wa JPM. Siamini kama waanachama wa CHADEMA walishirikishwa kumchagua Lowassa kama mgombea wa UKAWA. Shurti ilitumika. Freeman Mbowe alitumia ubabe kumsimika Lowassa kama mgombea wa Rais. GIA ILIGEUZIWA ANGANI. Iweje leo CHADEMA walalamike kuhusu udikteta?
 
Je kwani uwepo wa IPTL unatija gani kwa taifa?
 
observer1994.jpg

swissme
 
Eti ana hofu ya Mungu!Anavunja katiba aliyoapa kuilinda mbele ya mwenyezi Mungu,naona mnamdhihaki tu Mungu!Wengine kwa imani yetu ukiambiwa apia,kama unajua ulichosema ni uongo basi kwa hofu unazuga zuga ili tu usitaje jina la muumba!Sasa huyu anaenda kinyume na kiapo halafu mnashabikia?Kweli mtakuwa mnawalakini
 
Nimekuwa nikijiuliza hivi haya maandamano ya KITAIFA yaliyopangwa na CHADEMA kufanyika tarehe 1 Septemba 2016 yana tija ipi kwa TAIFA?

Je bunge kutorushwa LIVE inasababisha madhara yapi kwa CHADEMA?
Kwenye demokrasia yeyote anayeshindwa uchaguzi aidha hukubali kushindwa au hukataa kushindwa. Ukikubali kushindwa unatulia na kumwacha mshindi achape kazi. Mshindi akichapa kazi vizuri na kutekeleza mambo yaliyopo kwenye ilani yako, unampongeza na siyo kufanya maandamano nchi nzima.

Binafsi naona kama mikutano nchi nzima na mbwembwe za CHADEMA kwa sasa zinatokana na hofu ya kukosa umaarufu baada ya matatizo yaliyokuwa sugu na kukipa CHADEMA sifa kuanza kushughulikiwa na JPM.

Nawaomba CHADEMA watulie, wajenge CHADEMA kwanza kabla ya kulalamika kuhusu udikteta wa JPM. Siamini kama waanachama wa CHADEMA walishirikishwa kumchagua Lowassa kama mgombea wa UKAWA. Shurti ilitumika. Freeman Mbowe alitumia ubabe kumsimika Lowassa kama mgombea wa Rais. GIA ILIGEUZIWA ANGANI. Iweje leo CHADEMA walalamike kuhusu udikteta?

mandamano ni kupinga kutofanya mikutano ambayo kisheria ni halali wafanye na ili kuimarisha chama, kuongeza wanachama ni muhimu kufanya hivyo.
kama unaona siyo tija, basi tuombe bunge lifute sheria hiyo, na pia ofisi ya msajili ifutwe maana itakuwa haina kazi
 
Kwani kukosa sukari kuna hofu gani kwa Watanzania? Ukishapata jibu hapa utajua samani ya maandamano ya Chadema.
 
Siku chadema wakisema tufanye maandamano tudai katiba mpya itokanayo na rasimu ya katiba ya warioba nitaunga mkono maana najua kwa sasa rais ana mamlaka makubwa sana kwa katiba iliyopo!
 
Kupiga mnada majengo yote ya serikali Dar baada ya kuhamia domdom kuna yija gani?
 
Kwani kauli za hovyo za diktetq uchwara zina tija gani kwa Taifa?Magufuli ni Rais asiyejua anatakiwa kufanya nn
 
Back
Top Bottom