Recent content by UkweliHuwekaHuru

  1. U

    Mgawo wa Umeme, nani alaumiwe?

    Hiyo ndiyo inadhihirisha kabisa kwamba serikali ya sisiemu imeshindwa kabisa kufanya maamuzi magumu na kuchukua hatua stahiki ya kuimarisha suala la nishati muhimu ya umeme ambayo ni kiungo muhimu sana ktk kuinua uchumi wetu! Hii inatupa sababu kubwa sana ya kuikataa ccm ktk uchaguzi huu....Na...
  2. U

    Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    Kweli kabisa! Sisiemu hawakujaza uwanja kabisa... Walitengeneza picha tu za kuonyesha mafuriko ili kudanganya na kuchanganya watu! Moshi wala Arusha sisiemu hawana chao.... Picha ya 1 ni Arusha na ya 2 ni Moshi...!
  3. U

    Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

    Anasikika Radio one pia....!
  4. U

    Lowassa live ITV Sasa hivi

    Anasikika Radio one pia...!
  5. U

    Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

    Anasikika Radio one pia...!
  6. U

    UKAWA hamkujipanga kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa...
  7. U

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

  8. U

    CCM ijiandae kisaikolojia hakuna namna!

    TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa...
  9. U

    Lowassa hatafika mikoani kujinadi?

    TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa...
  10. U

    Uchapishaji,Uenezaji na Usambazaji wa Ilani za Wana UKAWA

    TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa...
  11. U

    Kusema si kutenda walisema maneno mengi na matamu lakini leo wametuacha hohehahe

    TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa...
  12. U

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa...
  13. U

    Forums mpya kwa ajili ya discussions za kitaaluma na kijamii

    Nashukuru kwa taarifa! Hiyo ni Forum dada wa JF au? Itakuwa inahusika na mijadala kadhaa tu kama ya kitaaluma kama ulivyosema hapo juu au ni kila kitu kama JF?
  14. U

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Duh, c mchezo! Anavyoonekana mzalendo na mchapakazi kumbe ana madudu mengi hivi underground? Nimesikia pia na habari za boti aliyonunua ya toka Dar to Bagamoyo; inabeba abiria 350, inatumia masaa 3, halafu imenunuliwa kwa bilioni 8 wakati imetengenezwa mwaka 1978! Lakini boti ya Bakhressa ya...
Back
Top Bottom