Ubinafsi wa kiakili ni ile hali ya kuamini fikra zako tu binafsi.Tunapofikri kwa mtindo huu,hatutaweza kufahamu mawazo,hisia na mihemko ya wengine.
Huu ni mtazamo wa kiasili ambapo tunaguswa zaidi na maumivu yetu pamoja na matamanio yetu,na matumaini yetu ndio tunayoyapa nafasi kwanza kuliko...