Recent content by ukutibayoyo

  1. U

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ngoja tuwasubiri wenye kuhitaji kuja huko
  2. U

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kilindi -tanga nije tanga mjini au Dar -es -salaam au muheza
  3. U

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kilindi nije Dar au tanga mjini kwa aliyetayari plz anitafute plz
  4. U

    Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    Daaa!hatari ila bank ya posta ndio hawafai kabisa naona riba yao ni asilimia 90 kwamana laki na 86 kwa miaka 5 wanakupa million 5 na laki 8 hebu angalia riba hiyo
  5. U

    Gharama za kurudia Mitihani ya Kidato cha Nne

    Hapo wazi post yako kiufupi sijaielewa bado hebu fafanua plz
  6. U

    HIV history

    Ukimwi umetengenezwa na wazungu na si mpango wa mungu wakitaka wenyewe watatuletea dawa
  7. U

    Siri kubwa kuhusu majani ya chai ya green tea

    Daudimchambuzi umegusa kunako hata mimi nitanunua fasta
  8. U

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Sasa doctar hizo dawa za u.t.i ulizozitaja tunazitumiaje mana umezitaja tu huwezi kutoa matumizi yake tafadhali doctor
  9. U

    Project: Kusafirisha mchele kutoka mikoani kuja Dar

    Wazo zuri mkuu lakini kwanini sio mikoa mingine mpaka upeleke Dar?
  10. U

    Noah 10 milion

    Iko wapi hiyo Noah kaka na inaweza kupungua bei kidogo
Back
Top Bottom