HIV history

bruno twemanye

JF-Expert Member
May 18, 2015
801
387
HIV kirusi kinafahamika kwa jina la retrovirus jamii ya Lentivirus,RNA ,spherical shape,diameter of 80-100nm. africa klipewa jina la hiv kutokana na tabia yake ya kuharibu kinga haraka sana zaid ya kirus kingine kwenye mwili wa bnadamu,na hlo jina lilisaidia watu kuelewa maana ya kirus hicho.

Kwahyo HIV hufahamika kwa jina retrovirus pote duniani,,Kirus hicho kimegawanyika ktk sehemu mbili hiv typ 1 hupatikana ulimwengun kote,type 2 sana sana jamii hii hupatkana sana west africa ,angola na mozambq, sifa yake makali ya ni madogo sana na mama hawezi kumueneza mtoto akiwa tumbon bla kujali matumiz ya dawa

Tanzania husumbuliwa na type 1, tabia yake huzalianaji hatua kubwa ni replication include; attachment to secceptble cell>release genetic material(RNA) kwenye cell>reverse transcription to produce DNA(aid of transcrptase reverve enzymes)>intergration of proviral DNA into host cell DNA(aid of intergrase enzymes)>synthess of viral protein> release vral HIV partcles inform of RNA.

Hivyo dawa ambazo hutolewa husaidia kuzuia uzalianaji wa kirus ndani ya mwili wa binadamu kwa kurenga seheme ambazo kirusi huujbadlisha na kufanana na DNA ya binadamu.

OMBI TUSIJALIBU KUSHAURI NA KUDHARAU MATIBABU YA UKIMWI.FUNDI BAISKERI TUMWACHIE BAISKERI NA DACTARI TUMWACHIE MAGONJWA ILI TUSLETE MADHARA MAKUBWA ya kiafya miaka kadhaa ijayo,,tunajitaid kupata 0 kwa watoto wanazaliwa na wammama wenye maambukiz ili kulinda taifa letu.
 
Last edited by a moderator:
Lakini nasikia mpaka leo hakuna kipimo kilichowahi kumuona kirusi huyo, je nikweli hiyo?

Kama sio kweli nilikua nakuomba mleta mada utupie hapa picha ya kirusi hicho (sio mchoro) tukijadili vizuri.
 
sifa ya kirusi chochote ni kuto kuwa na umbo rasimi,hvyo hubadlika kukungana na mazngra
 
Lakini nasikia mpaka leo hakuna kipimo kilichowahi kumuona kirusi huyo, je nikweli hiyo?

Kama sio kweli nilikua nakuomba mleta mada utupie hapa picha ya kirusi hicho (sio mchoro) tukijadili vizuri.
Kiongoziii unaweza soma kitu kinaitwa viorollogy
 
Ukimwi umetengenezwa na wazungu na si mpango wa mungu wakitaka wenyewe watatuletea dawa
Kwaiyo kama ukimwi ulitengenezwa na wazungu..kwani sisi atuwezi kuubomoa?

Sent from my SAMSUNG-SGH-I547 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom