Recent content by ukimbile

  1. U

    JamiiForums Tanzania Ccm kumvua nyadhifa zote za chama na serikali anna tibaijuka

    we waache
  2. U

    JamiiForums Tanzania ITV mbona mnafanya upendeleo kwa CCM?

    heshima mliojijengea itv itayeyuka soon
  3. U

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

    kwanza kagame amekalia kuti kavu huku analikata.binadamu ukimya wao una kishindo.historia inaonesha watakichafua xho muda
  4. U

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

    kagame anabadili katiba ili akae milele sisi tunabadilishana ingawa wanaoingia ni wabovu
  5. U

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

    huwezi ukalinganisha hali ya demokrasia rwanda na tanzania.rwanda nchi inaendeshwa na mtu mmoja akianguka mambo yana badilika.tanzania nchi inaendeshwa na wanasiasa wakiangushwa wanajitokeza wengine.tz utawala mbovu lakini kuna katabia kakubadilishana.RWANDA wanamuhofia lowassa wanajua akichukua...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kingunge kukutana na Wanahabari kesho saa 5 asubuhi Serena Hotel kujibu Mapigo

    tunataka mkapa na mwinyi wahamie huku
  7. U

    JamiiForums Tanzania Nape awapongeza Dkt Slaa na Lipumba

    huyu jamaa tunamsubiri kwenye goli lamkono tufahamiane
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    ufoo salo chadema full
  9. U

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Msichana wa miaka 12 atoroka ISIS na kusimulia alivyotendewa akiwa mateka

    toa utumbo huu wenye kukela
  10. U

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Msichana wa miaka 12 atoroka ISIS na kusimulia alivyotendewa akiwa mateka

    upuuzi huu ni propaganda.hakuna dini yenye kukubali uongo huuu
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    mkundukuwaka iringa
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nape: NEC imefuta matokeo ya kura za maoni jimbo la Singida Mashariki!

    wezi wanaibiana
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa

    mkuu nipo tokea juzi namsikilizia kamanda
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kilichofanyika mpaka Lowassa akatua CHADEMA na kufuta ndoto ya Dk. Slaa

    lazima mteme unga .tukiichukua nchi mtajutia wizi mlioufanya kwenye ardhi hii
  15. U

    JamiiForums Tanzania WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

    masikini muweka thread std two
Back
Top Bottom