Ndugu nimeeleza kwa kifupi sana lakini ufikilie kuwa mgonjwa baada ya kupokelewa huitaji vipimo,dawa kama atalazwa kuna gharama za nauli za kila siku za wanaoenda kumpelekea chakula inawezekana hivyo vyote havikupatikana kwa wakati kutokana na kukwama kwa hizo hela,kwa kifupi voda wamechangia...
Naandika haya kwa uchungu dhidi ya huu mtandao wa vodacom.Tarehe 25/4 saa 7 na robo mchana nilipigiwa simu dada kazidiwa tena kutoka kwa majirani, niliwaomba watafute gari wamkimbize hospital mimi niombe ruhusu kibaruani nitawakuta huko.
Kwenye akaunti yangu ya mpesa nilikuwa nina 416,000 tena...
Poleee sana ndugu,hii mitandao kiukweli ni wezi sana hasa tigo na voda.mimi tar 24/4 nilituma hela voda to airtel laki nne hadi sasa tar 28 hela haijafika na kwangu imekatwa nimewapigia wanadai hela iko hewani itafika,sasa fikilia kama nnayemtumia angekuwa yuko hospital hela inahitajika haraka...
Habari wanajukwaa,
Nataka nianze mradi wa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa kwaajili ya biashara,naomba wenye uzoefu wa ufugaji huu wanisaidie kupata somo na mambo ya kuzingatia wakati wa ufugaji.
Pia naomba kujuzwa mbegu bora ni ipi,upatikanaji wake na soko la maziwa likoje.niko Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.