Recent content by UKAWA2

  1. U

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    jamani nisaidieni, nilikuwa na account ya zamani ila nimeshinwa kuitumia maana sina details kama user number na password, nimejaribu kufungua account mpya, kila nikiingiza namba ya form four naambiwa "index number invalid" natokaje hapa ndugu zangu?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Hatutaki viwanda vinavyotugeuza watumwa na mateka wa nchi yetu wenyewe

    Hii kitu ni chungu sana.
  3. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Mimi naona angepotezea tu kikajulikane huko field mbivu na mbichi.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu anisaidie, hii inatokana na nini?

    Hahahaaa!!umejua kunichekesha aisee!
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

    Hili eneo lina kilio kikuu kwa Magufuli. Watoto wa maskini tangu 2015 walipohitimu vyuo wamekaa bila ajira!!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Huu uzi kwani vipiii mbona kasi hivi, hawa wote wanaoandamana humu kama na wao wangefanikiwa kufika huko field ingekuwa balaa!!
  7. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge wa CCM na waliohamia CCM, walioangushwa kura za maoni 2020

    Marwa Ryoba-Serenegeti
  8. U

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa TBC Gabriel Zacharia na Gloria Michael wamepotelea wapi tangu wazushiwe wamekufa?

    Sijui inakuaje unaanza kuangalia TBC. Usitupangie cha kuandika hahaaaaaa!!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nilimwelewa Askofu Mwamasika wa KKKT alipojiuzulu Ubunge na kugombea Uaskofu, ila Gwajima amenichanganya

    Hicho anachofanya Gwaji hakipo kabisa katika theolojia, yeye mjasiriamali kama wajasiriamali wengine wa kawaida tu, huo uaskofu anasingiziwa tu.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kupigwa Marufuku Makanisa ya Kilokole, Gwajima amjibu mkuu wa mkoa wa Arusha, ni mtoto wa Dawa

    Laana ya Gwaji haiwezi kumpata hata panya
  11. U

    JamiiForums Tanzania Meya wa zamani wa Arusha amuandikia barua Rais Magufuli

    Kuna kitu kinanitatiza sana, hivi maisha nje ya vyeo kama ubunge na nafasi mbali mbali hayawezekani?. Yaani mtu yuko radhi atembee uchi ili mradi tu apate cheo lol! alafu akishakipata, utamsikia anasema, wahitimu wa vyuo jiajirini, nyambafuuu!!
  12. U

    JamiiForums Tanzania Sitosahau: Tuliowahi kukimbia kazi za kubeba beseni na kuzitembeza mitaani tukutane hapa

    Hiyo ya Chang'ombe hata mimi imeshanikuta, mwaka 2012. Baada ya kumaliza degree yangu Mlimani mwaka 2011 niliamua kutorudi kijijini kwetu ili nibaki dar kutafuta mishe ya kufanya. nikawa nakaa kwa binamu yangu maeneo ya kawe kwa bahati nzuri nilikuwa napatana sana na shemaeji yangu(mke wa huyo...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Chukua hii

    Hiyo ya kwanza, imenibariki
  14. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa nyumba kali

Back
Top Bottom