Mwenye ufahamu anisaidie, hii inatokana na nini?

dumbi

JF-Expert Member
Jan 15, 2018
989
1,523
Habari wakuu,ni hivi mara nyingi ninapotaka kulala yani kabla sijapata usingizi kabisa kuna sauti huwa naiskia ndani ya kichwa changu kama kuna mtu anaongea.

Kama nikistuka huwa sikumbuki alichokuwa anasema au mara nyingine hiyo sauti huwa naiskia kipindi ambacho nakaribia kuamka,yani huwa anaongea mambo mengi lakini nikiamka sikumbuki amesema nini.

Kwa mwenye ufahamu anisaidie inatokana na nini na nifanye nini ili niweze kukumbuka hayo maneno,
Je wewe inakutokea hii?
 
Mie hii hali utokea na kupotea sujajuaga ni nini na sikumbukagi wanaongeaga nini tena kwa sauti kubwa sanaa!
 
Sali kabla ya kulala, omba Mungu au malaika wake akusaidie kutambua tafsiri ya maneno hayo yote na kwanini yanajirudia.

Usisahau kumuomba Mungu kuwa kama ni jambo lisilo jema basi akuepushe.

Tunaomba maarifa lakini yaliyo mema tu siyo yale yanayotuweka mbali na upendo wa Mungu.
 
Mimi niliwahi kuagiza chakula kwenye ndoto nikalipia kabisa alaf nilivyoshtuka nikakuta hela sina wakat nililala na 10 pemben ya mto,, had leo sikuwahi kuelewa ilikuaje ile tukio hela nilitafuta Hadi kesho sijawahi kuiona ndani
Kuna jamaa aliniambia labda nilikula ile hela, lakin mm nakumbuka chakula niliagiza lakin kabla sijaletewa nikashtuka hivyo sikula chochote
 
Hahahaaa!!umejua kunichekesha aisee!
 
Usikubali rudi tena ndotoni kadai hela yako mbona msosi wao hukula harafu hela wachukue pia usisahau kumweleza Meneja😅🤪🤦🏃
 
hilo ni wenge kuna dawa wamasai wanayo inaitwa toa wenge itumie itakusaidia ukiiinusa unapiga chafya jitahid pia kula chakula kidogo nyakati za usiku
 
Habari wakuu,ni hivi mara nyingi ninapotaka kulala yani kabla sijapata usingizi kabisa kuna sauti huwa naiskia ndani ya kichwa changu kama kuna mtu anaongea.

Kama nikistuka huwa sikumbuki alichokuwa anasema au mara nyingine hiyo sauti huwa naiskia kipindi ambacho nakaribia kuamka,yani huwa anaongea mambo mengi lakini nikiamka sikumbuki amesema nini.

Kwa mwenye ufahamu anisaidie inatokana na nini na nifanye nini ili niweze kukumbuka hayo maneno,
Je wewe inakutokea hii?
Ongeza muda wa kufanya mazoezi ili upate usingizi mnono.
 
Habari wakuu,ni hivi mara nyingi ninapotaka kulala yani kabla sijapata usingizi kabisa kuna sauti huwa naiskia ndani ya kichwa changu kama kuna mtu anaongea.

Kama nikistuka huwa sikumbuki alichokuwa anasema au mara nyingine hiyo sauti huwa naiskia kipindi ambacho nakaribia kuamka,yani huwa anaongea mambo mengi lakini nikiamka sikumbuki amesema nini.

Kwa mwenye ufahamu anisaidie inatokana na nini na nifanye nini ili niweze kukumbuka hayo maneno,
Je wewe inakutokea hii?
Utakuwa na magonjwa ya akili
 
Back
Top Bottom