Recent content by ukawa.com

  1. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania The vatican changing tone on homesexuality?!

    This is tupidity.
  2. ukawa.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Scholar and political writer Professor Ali Mazrui has Passed Away

    pole wana kibokoni,mkanyageni,kuze,Bakhani,Bondeni,kizingo,mlango wa papa,makadara,mwembe tayari,markiti,mombasa kwa ujumla na kenya nzima.
  3. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania Nchi zipi zilizo pakana na Tanzania ninazoweza kwenda bila VISA?

    fanya hivi nenda pale kurasini kuna jengo fulani la rangi ya bluu limeandikwa Uhamiaji kawaulize hapo utapata jibu sahihi.
  4. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kuufahamu mji wa Katoro ulioko Bukoba vijijini mkoani Kagera

    katoro c buselesele Geita?
  5. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

    kila mtanzania ameruhusiwa kuishi popote bila bughdha.
  6. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Pwani wengi ni masikini?

    shika adabu yako kunguru mawe.ukabila hatuhutaki humu.kwani ardhi ya Tanzania ni ya babu yako peke yake?
  7. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto atangaza nia kugombea ubunge Ubungo Atamng'oa Mnyika?

    hivi bungeni kuna nini?kila msanii anataka ubunge.kuna nini humo?au posho na ruzuku?
  8. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto atangaza nia kugombea ubunge Ubungo Atamng'oa Mnyika?

    kwanza wajipange bongo movi ndo waje kwetu.Halafu ana elimu gani huyu msanii au ni kupasa sauti tu?
  9. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto atangaza nia kugombea ubunge Ubungo Atamng'oa Mnyika?

    Huyu naona kapuliza kifaa cha arachuga c tarime.
  10. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto atangaza nia kugombea ubunge Ubungo Atamng'oa Mnyika?

    nitakiwa nimeota meno ya barazani.
  11. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto atangaza nia kugombea ubunge Ubungo Atamng'oa Mnyika?

    na mimi nijifunze kuimba baadae ni kuugombea urais mwaka 2019.ok wan njengo?
  12. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto atangaza nia kugombea ubunge Ubungo Atamng'oa Mnyika?

    Labda atavaa vazi lake la ngozi kama kibwaya.
  13. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni launches Uganda's Standard Gauge Railway

    where did they mentioned Tanzania?Be specific and mind your own.Mtoa mada ameiongelea M7 na jopo lake sikuona kataja Tz.
  14. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania The 8 Richest African Presidents and Kings as of 2014

    humu ninaziona habari za kahawa na nyagi.Hizi data mnazitoa wapi?
  15. ukawa.com

    JamiiForums Tanzania Twaweza: Tanzanians want regional integration speeded up

    kumbe?
Back
Top Bottom