Recent content by Ujugu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kumuelewa anamaanisha nini.

    Nlikuwa ctak kucomment ila hii lazma ncomment,Priod ajaribishe TTCL itakuwa inashka!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Embu Tujikumbushe enzi za chupi V.I.P wakati huooo Una..

    Teh teh teh,
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni wewe

    Nmetoka kupata breakfast ananiambia et kuna kaz anamalizia huku naona kabisa yuko Jf,ila anajua cjui hata kama kuna Jf.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni wewe

    Tunabadilishana mawazo,huku kaz kama kawa.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni wewe

    kumbe ni wewe!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tangazo,tanganzo,tangazoooo!!!

    Hapo GPA lazma ipande kwa msuli huu!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni wewe

    Tupo ofisini asubuhi,mhacbu yuko pembeni bize,nkachungulia kumbe yuko Jf cjui anasoma post au anacomment,ngoja nindelee kuchungulia,ila hajui na mimi nipo huko.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Cacico i wish your mom quick recovery

    Tuko pamoja kwenye maombi,Mungu wetu yu karibu sana na wale wamwitao,naye anajibu ,in Jesus name Mama wl be ok.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kweli tumetoka mbali!!

    Yani J uzaliwe Somalia alafu unajisifu,afadhali alyezaliwa Tz.
  10. U

    JamiiForums Tanzania JamiiForums game of the year

    Mahakama zip,hz ambazo hak tunanunua
  11. U

    JamiiForums Tanzania cacico am sorry...............ma sweetheart.

    Hii nmeipenda ,yani cacico ana ID nyinge alafu et naye anacoment kwenye hii post,tena ametaja cjui uende kuomba msamaha na .....,,alafu ndo utasamehewa.et uciende mikono mitupu.
  12. U

    JamiiForums Tanzania mahanjamuuuuu!!!

    Mkimwagana mje mtuambie wanaJf kama mnavyotuambia mlivyo approchiana
  13. U

    JamiiForums Tanzania Surprise kwa wanaume!!!

    Hii imekaa njema,kama mpenzi mpra atafurah sana.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Missing You , Beibe Nasty.

    Ok I'm back.Sasa Judgement hii thread cleant ameisoma au hajui ID yako,kama haijui mpe ID yako naye aisome.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Missing You , Beibe Nasty.

    Bi mkubwa ameniita ntarud baadae!!!!
Back
Top Bottom