Recent content by uhurumoja

  1. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Unapata chumba hewa haiingii utajuta feni linawaka 24/7
  2. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kubomoa inauzwa Kawe, karibu na Maghorofa ya Samia — ipo Main Road, inatazama Old Bagamoyo

    Mkipauza mtuambie maziwa tutakuwa tunapata wapi na nyama ya mbuzi Maana maziwa ya hapo ni never seen before
  3. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Mke kafa Baba wa mtoto kafa Uko wewe na mtoto na anaitwa kwa jina lako Mbona jaribu jepesi sana ni kumlea huyo mtoto kawaida tu kama wako atasoma atakuwa atapata maisha yake na wewe utakufa dunia itaendelea
  4. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

    Ni kawaida wachezaji wamepitia hali zote kuzomewa kushangiliwa n.k binafsi nilimuona Ronaldo akiwafunga Spain ,akiganda hewani kuwafunga Juve heshima yake itabaki palepale
  5. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Heche: Nimemsikia yule mtoto Kenani Kihongosi eti anataka mdahalo na mimi, nikimuuliza Polepole na Nchimbi wako wapi atanijibu..?

    Imagine ye anaulizia barozi wa Tanzania na makamu wa rais ghafla una counter kwa kuulizia hela bukubuku lazima heche achoke adondoke kabisa kwenye kiti
  6. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Femi: Wanawake wa Singida tukiacha kazi ya baamedi, baa nyingi zitafungwa

    Ila kweli Maana warangi mbanga za barmaid sio sana labda warombo watasaidia kidogo kuokoa jahazi
  7. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

    Ni kawaida kwa mechi za saudia mechi kuwa tupu Wala hazihusiani na Ronaldo Yeye ni kivutio kwa soka la saudia kwa ujumla ndio maana wameendelea kumpa mkataba kabla ya kuja Ronaldo hakuna media zilikuwa interested na soka la saudia Wala wachezaji wakubwa na makocha ila Sasa hali ni tofauti
  8. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

    Enyi wareno sisi tumeweza kumstaafisha samata kwa maneno Sasa tunawaomba wareno mfate mfano wetu
  9. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Mwenyekiti wa CHAMASHO umeingia Frontline kupambana usikose kifil..o dudu BAYA anataka kuwaharibia ugali
  10. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hapa Tanzania Matajiri Wengi Wakubwa Karibu Wote ni Waislamu? Je Dini ya Wakristo Inawanyonya Waumini Wake?

    Ungesema mbona waarabu ni tajiri kuliko waafrika weusi tz maana hao wote uliotaja ni waarabu na wahindi
  11. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya michango tunayokumbana nayo Wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mbagala Kuu

    Hiyo shule ilikuwa ya kwanza kiwilaya mitihani ya advance kama sikosei wakiwashinda hadi shule za private temeke kabla ya kulaumu tuwape maua Yao kwanza
  12. uhurumoja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harambee Stars wagoma kufanya mazoezi, posho na maslahi ya wachezaji zazua mvutano

    Kenya wajifunze kwa tff ambayo kwa Sasa mchezaji anaona fahari kucheza team ya taifa
  13. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Magari Showroom (Kausha Damu): Serikali Iingilie Kati, Hii Siyo Fursa Ni Unyonyaji wa Wazi

    Ukikubali hujaibiwa!hii ni kauli kuu wall mart Marejesho makubwa sana
  14. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hivi wakuu unapata msupu kama huyu ameridhika na wewe na anakuheshimu ndani yaani hata kama unapitia ugumu flani ukirudi ukiona ua lako moyo unapoa

    Ukute ana gubu na akili kisoda utaingia asubuhi ndoani utoke jioni
  15. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha habari Simba wekeni kumbukumbu ya wanasimba wanaotumika kuhujumu timu kabla ya mechi za derby

    Simba mnaweweseka utafikiri hamjawahi kufungwa na yanga Kwa Sasa ifike hatua mzoee hata hiyo oct mtafungwa tena
Back
Top Bottom