mwarobaini nakushukuru kwa kutuamsha wanwkusini hapa jamvini.ushauri wangu wanakusini wote tuone wanakusini adui yetu mkubwa ni ccm ,kuanzia sasa tuchukue atua dhidi ya ccm vinginevyo wanakusini tumekwisha kwani ccm ni janga la kitaifa kwa wanakusini.
ACHA KUTUMIKA, WATANZANIA WA LEO C WALE 2005 NA 2015.HUU NI WAKATI WA DIGITAL ,YAANI CHADEMA NI DIGITAL NA MACCM NI ANALOGIA.MWISHO YA YOTE UTAPATA Aibu.
jibu hoja je cuf wapo kwenye mlengo wa kilebirali au la naww usioanze kuchanganyikiwa kwa kuwa ni mwanacuf cc atukuelewi je wapo uko nini mlengo wa kileberal?jibu hoja ucropoke.
hongera kaka kwa ufafanuzi zaidi naomba wanacuf wakubali tu kukosolewa na waombe radhi kwakuleta vurugu bungeni.tafadhali mh wenje usitafune maneno wala kuomba radhi hapo kama kisu sema kisu na sio shoka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.