Ni kwa sababu hujui kwamba imani si issue za Mungu,mizimu,miujiza,uchawi na mfano wa hayo tu ndio maana unadhani kwamba hayo uliyoeleza hapo juu umeipuka imani katika maisha yako.
Halafu pia unasema unadhurika na vinavyoingia mwilini mwako direct na kutaja sumu, sijajua hiyo ni sayansi ipi...