Kweli huyu mzee ni mnafiki sana, kwanza kiongozi gani anayekubali kununuliwa? Hatutaki hata kumsikiliza hana maana. Kapoteza sifa na heshima ktk taifa hili. Akae kimya asipotoshe uma, hatufai
Jamani mwaka huu ndiyo nauona upinzani wa kweli, sasa kuna wengine matumbo joto safari hii hawalali duh, sisi tumeshachagua rais tunayemtaka tunasubiri tu kulikamilisha hili 25.Oktoba, :A S shade::A S shade::A S shade::A S shade:
Jamani mwaka huu ndiyo nauona upinzani wa kweli, sasa kuna wengine matumbo joto safari hii hawalali duh, sisi tumeshachagua rais tunayemtaka tunasubiri tu kulikamilisha hili 25.Oktoba,
Natamani sana niwe Dar siku hiyo lakini majukumu jamani, nawatakia kila laheri lakini tutakuwa pamoja huku mikoani kwetu,
Ukawa Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, ukawa tumaini letu watanzania
Nchi hii tuna wachumi lakini hawatumiki ipasavyo katika kupanga mipango inayoleta tija. Wanasiasa ndiyo wapepora kila kitu, hii inasababisha uchumi wetu kuyumba sana.
Nikitoa mfano mdogo tu huwezi ukawa na gap kubwa sana la mshahara kati ya kima cha juu na cha chini.
Ukizingatia wote hawa ni...
Mimi nashangaa sana, hivi kuna kosa gani mtu akikosoa kasoro zinazoonekana? Ukiona chombo kikubwa kama bunge ni ndiyooo tu ujue aidha kuna rushwa ndani au kuna maslahi binafsi. Haiwekekani mkakubaliana kwa kila kitu, hapo ujue hakuna kitu ni uozo mtupu!. Nampongeza mwanasheria wa zanzibar kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.