Recent content by ugali wa muhogo

  1. U

    [Ushauri]: Wa Kikubwa na Kiutu_Uzima Unahitajika hapa

    Imekaa poa sana lakini kwa bongo hii hutaambulia hata mmoja labda uende kijijini
  2. U

    Kila Kadi ya Simu ya Mkononi Kutozwa TShs. 1,000 Kwa Mwezi

    Kwa wanaume ukivaa suti unalipa kodi, kwa wanawake ukivaa kimini unalipa kodi
  3. U

    Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz

    Hapo hakuna siri tena, kwanza kubali lazima jamii itakutiza kwa mtazamo tofauti na mwanzo. Cha msingi inatakiwa ukubali kuishi maisha yatakayofuata baada ya siri hiyo kufichuka pande zote mbili. Nakushauri usijaribu kumuumiza mkorea, mlete bongo tumia mbinu hizo qmbazo umeshauriwa za kumuhifadhi...
  4. U

    Kama mambo yenyewe ndio haya,basi mimi kuoa itakuwa ndoto

    Oa na ukimegewa unatakiwa uone kawaida kwani hata wewe unafanya yayo hayo
  5. U

    Biashara ya asali

    Hi asali ni ya nyuki wadogo ndoo 1 Lita 20 in laki moja na tisini elfu
  6. U

    Biashara ya asali

    Habari zenu wanajamii ninabiashara yangu ya asali mbichi kutoka tabora kwa anae hitaji Huduma inapitikana muda wote ukihitaji..mauzo nikuanzia litre 1 nahata kiujumla kama ukihitajii.
  7. U

    Naona maisha hayana faida tena baada ya kuachana naye

    Nianze upya kivipi? Kwamba nirudi katoliki? Kimsingi katika hii imani kuna vitu bado sivikubali, nimekuja kugundua baada ya kuingia kuwa kuna vijisheria vingi na vijimisimamo vingi ambavyo nikiviangalia kwa hali ya kawaida tu havina mantiki, Jamii inayonizunguka tayari inajua Mimi no msabato...
  8. U

    Naona maisha hayana faida tena baada ya kuachana naye

    Najua utanilaumu na kuniona mnafiki lakini hata mi mwenyewe nilikuwa na msimamo mzuri tu wa kiimani lakini yalinikuta hayo. Hata sikuweza kufikiria sana juu ya maamuzi hayo kwa jinsi nilivyokuwa nimelainika
  9. U

    Naona maisha hayana faida tena baada ya kuachana naye

    Habarini wana jamii. Naombeni mnisaidie, nilitokea kumpenda binti mmoja ambae alikuwa mzuri sana lakini pia alikuwa na msimamo wa kimaisha pia kiimani. Alikuwa ni binti ambae hatetereshwi kirahisi tena hata ngono aliniambia hawezi kufanya kabla ya kuolewa. Nilipomdodosa zaidi aliniambia kuwa...
Back
Top Bottom