Recent content by ufuto

  1. U

    JamiiForums Tanzania Leo nimemsaliti mpenzi wangu sasa roho inaniuma hadi nakosa amani

    Akuache na ukafie mbali,huna sababu ya kuishi tena!!!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Leo nimemsaliti mpenzi wangu sasa roho inaniuma hadi nakosa amani

    Acha kuhalaliaha dhambi,utachomwa moto,mkeo akichepuka ndo utajua kuwa siyo kawaida ..
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nauza hizi nyumba

    Hizi siyo za kwenye tangazo la avic town??
  4. U

    JamiiForums Tanzania Nauza hizi nyumba

    Hakuwa makini na jukwaa hili,inawezelana yeye ndo anavuta...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Pale mume anaposema hatajenga nyumba

    Imani ni kuwa na hakika na ndoto zako...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

    Inawezekana,maana nimeuliza wazee wakasema ikicheza nyama ya juu ya jicho ni jambo jema la kufurahisha linakuja,ila nyama ya chini ya jicho ni ishara ya jambo baya na pengine litahusisha machozi kabisa.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

    Na ibaki kwenu tu,maana!!! [emoji252] [emoji252]
  8. U

    JamiiForums Tanzania Shampein (champagne) yaumbua wazazi wa maharusi

    Ni wazazi wa bibi au bwana harusi?surprise nyingine hazifai,wangewapa maelekezo wangependezesha sherehe kuliko kuwasononesha wazee mbele ya halaiki na wakwe zao...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Serikali kuja na pedi za kike za kurudia

    Hapa ni uokoe pesa au afya.... Serikali haishindwi kuongeza ruzuku na kuwapatia watoto wa kike pedi ,hata kama ni kuwachangisha wazazi na wadau wa elimu..
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wee Dada,God is seeing you!

    Hajui maana ya msamiati aliotumia..
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ni hali ngumu au uchoyo?

    Watakuwa wana tabia ya kupakua bila ruhusa...Du,litakuwa pilau la mwaka mpya..
  12. U

    JamiiForums Tanzania MIKUMI: Mkulima aliyechomwa mkuki na Wafugaji apata nafuu baada ya matibabu

    Vita vya wakulima na wafigaji vilianzia kwa kaini na habili,Ibrahim na Luthu,Labani Yakobo na Esau.... Mungu atuokoe na ukatili huu...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kansiime ni shida

    Ni kweli kabisa,hakuna sababu ya kununua gari ya speed zaidi ya 80..
  14. U

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Friends wa kweli hawapo tena..
  15. U

    JamiiForums Tanzania Hiki kitendo cha clouds Fm kufanya matangazo karibia dk 20 hadi 25 ki ukweli kinaboa

    Break za matangazo nazo nusu saa..
Back
Top Bottom