Recent content by Ufunuo wa Yohana

  1. U

    JamiiForums Tanzania Ufunuo: Tanzania yangu ya leo na Ijayo

    Haya niliyaona 2011, kuna kiongozi mmoja alipia hapa karibuni akajaribu kuyafanya lakini hakuweza kama nilivyoona, bado namsubiri Mungu katika maono haya maadamu aliniambia nitayaona kabla sijaondoka duniani.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kamilius Membe, tunaomba Usubiri 2025

    Tafakari yangu ni hii: uchaguzi wa mwakao huu unachangamoto kubwa mno na ushindi siyo dhahili. Hapa kama Membe mnamtaka agombee 2025 msije mkamuharibia maana uchaguzi huo utakuwa ni rahisi sana kushinda. CCM haitakuwa na mwenyewe wkati huo. Hivyo karata lazima zichangwe vizuri.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Cow ear tags

    Unajua nimetembelea mifugo yangu sasa kuna ndama wamezaliwa identification inakuwa shida mno nataka kila akizaliwa namuwekea namba. hii itanirahisishia kuweka kumbukumbu sahihi hata kwenye database yangu. hata akifa wakipiga simu nijue ni namba ngapi amekufa.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Cow ear tags

    Ahsante mzee wa shamba
  5. U

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Cow ear tags

    Ndugu zangu kama kuna mtu anajua wapi hapa Dar napata tags za kuweka ktk masikio ya ngómbe for identification na kile kifaa chemyewe cha kuwekea hiyo tag ktk sikio. natanguliza shukrani tena.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Lusungo, Ahsante kwa uzi huu na kwa uzalendo huu. Kwa wale ambao wanauzoefu wa migodi ya Tanzania please msing'ang'anie humo Geita, Kahama, buly... tafuteni kutoka kwenda nje ya mipaka ya Tanzania kama expat tuiletee nchi fedha za kigeni. Watanzania wanaheshima kubwa Congo DR, Zambia, Senegal...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

    Ni yale yale na uchumi ni uleule na nadhani sasa hivi imashaanza kupaa tena iko around 10-13. Zaire walipunguza zero 3 ikawa ktk single digit lakini sasa hivi tena 1USD=1200CF
  8. U

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

    Sory from 5000 to 5
  9. U

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

    Hayo in ya kawaida kufanyika, Zambia wamefanya kutoka 50000 mpaka 50, Ghana waliwahi fanya, Zaire iliwahi fanya na iko mbioni kufanya tena,...
  10. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yampongeza Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump

    haya buana
  11. U

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mimi kama Mtumishi, Kwa Muheshimiwa Rais John Pombe Magufuli, haya ndiyo niliyofunuliwa na nikuombe unitegee sikio. Ulitangazie Taifa zima kuwa katika hali ya maombi ya nchi nzima na Maombi haya yawe ya wiki moja na ya watu wote wenye mapenzi mema na nchi yao na yawe ya kufunga walau saa 12...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Mabilioni ya NIDA: Kulinganisha NEC na NIDA Kimantiki

    Tanzania yangu ilifika hatua mbaya sana, Rais yuko 100% sahihi kulingana na mmoja wao kati ya waliosimamishwa anayejenga gorofa kule bonyokwa na haliendani na kipato cha mtumishi wa serikali
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ufunuo: Tanzania yangu ya leo na Ijayo

    Watu watajawa na furaha, watapendana, watatambuliwa kwa upendo wao kimataifa, watapenda na kujivunia utaifa wao, watategemewa africa na duniani kwa kuleta amani na haya ndiyo matokeo yake:- 1) Viwanda vya magari, mitambo, mashine mbalimali vitabuniwa na watanzania na kutengenezwa kupitia...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ufunuo: Tanzania yangu ya leo na Ijayo

    3) Elimu ya ujasiliamali itatolewa kwa wingi zaidi kuanzia vijijini hadi mjini, runinga zitarusha program maalumu kwa wajasiliamali na utumishi bora wa serikali, miziki na maigizo yasiyo na tija itapewa masaa machache kabisa ktk kila runinga irushayo matangazo Tanzania. 4) Uanzishwaji wa viwanda...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ufunuo: Tanzania yangu ya leo na Ijayo

    2) Baada ya haya uyaonayo atatokea Rais atakayeifanikisha nchi ya Tanzania kuwekwa ktk ramani ya dunia hii ki-uchumi, ki-siasa na ki-michezo Niiuliza: Ni wakati gani haya yatatokea? Si muda mrefu, Nikauliza tena: mwaka gani? Hakuna haja ya kujua mwaka! Nami nikaendelea kudadisi: Je mimi...
Back
Top Bottom