pale ubalozi wa marekani kuna wazungu wanajua kiswahili balaa.Hizo pongezi nyie chadema si mmtumie twitter? Kwani Trumph ni. Member wa JF?
pelela huko..mumebaki kutetea ufisadi mnajidai ndio demokrasia.TAARIFA KWA UMMA –UCHAGUZI MKUU WA MAREKANI
• Pongezi kwa Rais Mteule
• Ni ushindi wetu IDU
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawapongeza wananchi wa Marekani kwa kufanya uchaguzi wao kwa njia ya amani hapo tarehe 09.11.2016, na kukamilisha kampeni za kumpata kiongozi wa Nchi hiyo.
Tunapenda kumpongeza Rais Mteule Mhe. Donald Trump na Chama chake cha Republican ambao ni wanachama wa IDU kwa ushindi wa kihistoria walioupata, na zaidi tunampongeza rais mteule Trump kwa hotuba yake ya awali ya kuwashukuru wananchi wa Marekani na hasa aliposema kuwa anaahidi kwa wananchi wote wa Marekani kuwa anaenda kuwa rais wa wote, na kuwa hilo ni jambo la umuhimu wa kipekee kwake.
“I pledge to every citizen of our land that I will be President for all Americans and this is so Important to me”.
Ushindi huu ni ushindi wetu sisi wanachama wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kidemokrasia (International Democratic Union-IDU)na unatuma salaam nzito kwa Madikteta popote pale walipo kuwa utawala mpya wa Marekani hautavumilia kuona Madikteta ambao wanaminya Demokrasia na Haki za Binadamu, kama alivyoahidi wakati wa Kampeni zake.
Tunaahidi kumpa ushirikiano wote kwenye vikao vya IDU ambavyo sisi tunashiriki kama wanachama wa umoja huu na tutampatia kila aina ya taarifa sahihi kadiri ya uwezo wetu kuhusu hali ya Haki za Binadamu na Demokrasia nchini Tanzania na Barani Afrika.
Mwisho, tunampongeza Hillary Clinton kwa kufanya kampeni za kihistoria na kukubali matokeo ya kura .
Imetolewa leo tarehe 09.11.2016
na;
John Mrema –Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje.
Upuuzi mwingine bhana, unampongeza DT tena kwa lugha ya kiswahili. Kiki zingine za ajabu sana, huyu jamaa chadema msitumie jina lake kupata kiki, hatumikagi kijinga kijinga.TAARIFA KWA UMMA –UCHAGUZI MKUU WA MAREKANI
• Pongezi kwa Rais Mteule
• Ni ushindi wetu IDU
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawapongeza wananchi wa Marekani kwa kufanya uchaguzi wao kwa njia ya amani hapo tarehe 09.11.2016, na kukamilisha kampeni za kumpata kiongozi wa Nchi hiyo.
Tunapenda kumpongeza Rais Mteule Mhe. Donald Trump na Chama chake cha Republican ambao ni wanachama wa IDU kwa ushindi wa kihistoria walioupata, na zaidi tunampongeza rais mteule Trump kwa hotuba yake ya awali ya kuwashukuru wananchi wa Marekani na hasa aliposema kuwa anaahidi kwa wananchi wote wa Marekani kuwa anaenda kuwa rais wa wote, na kuwa hilo ni jambo la umuhimu wa kipekee kwake.
“I pledge to every citizen of our land that I will be President for all Americans and this is so Important to me”.
Ushindi huu ni ushindi wetu sisi wanachama wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kidemokrasia (International Democratic Union-IDU)na unatuma salaam nzito kwa Madikteta popote pale walipo kuwa utawala mpya wa Marekani hautavumilia kuona Madikteta ambao wanaminya Demokrasia na Haki za Binadamu, kama alivyoahidi wakati wa Kampeni zake.
Tunaahidi kumpa ushirikiano wote kwenye vikao vya IDU ambavyo sisi tunashiriki kama wanachama wa umoja huu na tutampatia kila aina ya taarifa sahihi kadiri ya uwezo wetu kuhusu hali ya Haki za Binadamu na Demokrasia nchini Tanzania na Barani Afrika.
Mwisho, tunampongeza Hillary Clinton kwa kufanya kampeni za kihistoria na kukubali matokeo ya kura .
Imetolewa leo tarehe 09.11.2016
na;
John Mrema –Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje.
Daah hawa jamaa ni wanafik sana.TAARIFA KWA UMMA –UCHAGUZI MKUU WA MAREKANI

Ndio makosa mnafanya , mnafikiri kwenye balozi zao hakuna watu wa kufanya kazi ya kutafsiri, CHADEMA wameweka taarifa yao katika kilugha hiki kwa lengo la kuwajulisha watanzania kuwa Udikteta unakaribia mwisho........smart moveUpuuzi mwingine bhana, unampongeza DT tena kwa lugha ya kiswahili. Kiki zingine za ajabu sana, huyu jamaa chadema msitumie jina lake kupata kiki, hatumikagi kijinga kijinga.
Unataka ziwe Twitter ili Watanganyika wasijue kuwa CHADEMA ya USA ndio imeshinda uchaguzi sio?Hizo pongezi nyie chadema si mmtumie twitter? Kwani Trumph ni. Member wa JF?