Recent content by UFASHE MLIBHONA

  1. U

    Mahakama kuu ni kinga ya wafanya maovu? Au ni sehemu ya kupatia haki

    Ulikuwa wapi? kwani hukusikia au kusoma ripoti ya CAG, PCCB na ile ya PAC. Majaji wa mahakama kuu na wao ni wahusika wakuu katika kupokea malipo kutoka kwa Rugemarila walipokea takribani m 500 na ushee, hivyo usitegemee waruhusu mwenzao aumizwe kichwa na Tume ya Maadili
  2. U

    Picha ya Kinana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma yazua mjadala

    Chipsi yaipembeni acha wivu wako. Hivi hujui kuwa huu ni utaratibu wa kawaida tu na ulianza muda mrefu kwa Kiongozi anapotembelea mkoa au wilaya fulani lazima aandaliwe mtu wa kumtuliza na mambo yao huishia hapo. Hii imesaidia sana viongozi kutembelea wilaya na mikoa ambayo imeonesha mapokezi na...
  3. U

    Swali la Ugomvi: Kikwete Aitwe Asiitwe Tume ya Maadili Kashfa ya Escrow?

    Kweli Kikwete hastahili kuitwa, anastahili kunyongwa tu kwa ambayo serikali yake imeyafanya
  4. U

    Matokeo Makubwa Sasa - BRN

    Hayo ndio matokeo makubwa sasa, wewe huoni tumeongeza idadi ya waliofaulu kutoka 38% hadi 68% ingawa hawana pa kwenda yaani hawachukuliki kuendelea na elimu ya juu.Tumewafanyia mazingaombwe watanzania na watatuelewa tu kesho wanatupa ulaji kama kawa. Kalaghabhaho!!!
  5. U

    TBC 1 inatumika vibaya kuhamasisha kura ya ndiyo Katiba pendekezwa

    TBC kimeshajitoa magamba ni chombo cha CCM siyo tena cha TAIFA.kama mnakumbuka viwanja vyote vya mpira vilivyojengwa na wananchi vilivyotolewa maagamba na kuwa vya CCM?.Anyway mimi nimeshafunga station hiyo siitazami tena
  6. U

    Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni

    Katika pitapita zangu nilifika mkoani Kigoma kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Nikakutana na wazee fulani watano wamefika kulalamika kwa mkuu wa mkoa baada ya kukosa msaada kwa mkuu wa wilaya moja mpya kama sikosei walitaja kama Buhigwe. Malalamiko yao yalikuwa ni shirika la tanesco kukataa...
  7. U

    Msimamo wangu ndani ya Chama

    Hongera rosemarie kwa kusema ukweli wako ndivyo tunavyotakiwa kuwa tusiwe wanafiki tunakihujumu chama ni bora mtu akasema ukweli kukisaidia chama. Mh. Mwenyekiti tunakoelekea siko Hongera ulikipandisha chati chama kwa miaka 5 iliyopita lakini sasa hivi kimeanza kuporomokaa . Itisha wanachama wa...
  8. U

    Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

    Hivi hawa mabinti wadogo kiasi hicho wwanawezaje kuwavulia chupi baba zao?. Lakini mara nyingi tu inatokea wengine wanadai hawa wazee ndio wana fedha wamekamilika kuliko vijana wenzao kwani unakuta kijana ndio kwanza anaanza kujipanga kimaisha bado amepigika . Unaona mfano yule mzee wa vijisenti...
  9. U

    Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    Chadema kama wanataka kusonga mbele ni lazima wamuombe msamaha Zitto na wajirekebishe wakubali demokrasia na mabadiliko. Siyo vizuri kwa chama kuwa na viongozi wa kutoka wilaya moja tu au mbili kwa vipindi takribani viwili wakati Tanzania ni kubwa. Infact wangekubaliana na mapendekezo ya Zitto...
  10. U

    Au ni macho yangu...?

    Ndo hivyo unavyoona ni baba na mtoto. Hapana nimekumbuka ni mtu na dada yake
  11. U

    Traffic Anapochukua Leseni Yako, Nini cha Kufanya?!

    Ujanja ni kumfahamu tu, then mwachie hiyo leseni akae nayo. Baada ya siku 2-3 nenda kwa boss wake kwani leseni si mali ya polisi ni mali ya TRA
  12. U

    Nchi inakwenda wapi, muda si mrefu bomu litaripuka

    Nimetafakari sana naona giza mbele. Haya maendeleo hayatupeleki tunakotaka kwenda. Sina uhakika kama viongozi wetu wanawaza na kutafakari sababu za yanayotokea sasa. Hebu tupitie kidogo: 1.Zamani watumishi wa Umma kama walimu, askari, waganga na wengine wengi walikuwa wanaheshimika sana katika...
  13. U

    Kutoka Cheo cha kuwa RPC hadi kuwa DC

    Hii Tanzania mzee kama mimi nisingekubali kwenda kudhalilika tena hasa baada ya kufikisha umri huu maana ni wazi ssi muda mrefu mambo yatageuka
  14. U

    Ridhiwani Kikwete amkosesha Salum Hapi Ukuu wa Wilaya

    Tunamshukuru Kiwete katuondolea hili babu chinjachinja Dani Makanga. Ingawa hajamaliza kazi kamwacha msaidizi wake Issa Machibya angeyaondoa yote sijui kwa nini amemwacha huyu babu shauri yake anaiteketeza CCM kwa mikono yake mwenyewe. Viongozi wasikilizeni wananchi wanataka nini. Vinginevyo...
  15. U

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Arusha ajiunga CHADEMA

    Kimsingi CCM ilishakufa, inasubiri kuzikwa. Tatizo nani wa kuizika? Hapo ndipo wananchi wanapochanganyikiwa hawaoni mbadala wanalazimika kuendelea na ccm. Nashauri vyama vya siasa vitulie vijiangalie vina mapungufu wapi vijirekebishe visahihishe makosa.Chonde chonde vyama vya siasa msiwachukie...
Back
Top Bottom