Recent content by Udoro

  1. U

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa press ya kwanza ya Polepole: Amevuta ushawishi, ameweza kujenga hoja, amefungua mjadala

    Ni wakati Mzuri sana kupima uwezo wa chama tawala kukabiliana na mawazo hasi.Siasa za ndio mzee si rafiki kwa maslahi mapana ya nchi yetu yenye dira ya kuwa na uchumi wa 1 trillion baada ya miaka 25 kuanzia leo
  2. U

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe ameshiriki kwenye uzinduzi wa dira ya Taifa ya maendeleo 2050 kama nani?

    Msisahau Mbowe ana haki ya kushiriki au kutoshiriki mambo ya kisiasa.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe ameshiriki kwenye uzinduzi wa dira ya Taifa ya maendeleo 2050 kama nani?

    Alishiriki kutoa maoni kama Mwenyekiti wa chama cha Upinzani. Kumbuka mchakato huu ulichukua zaidi ya miaka miwili mpaka umeona matokeo leo
  4. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 WanaCCM wengi wanalalamika kimya kimya kwamba hata kama inatolewa fomu 1, Mbona yeye hata hiyo hajachukua, kapitishwaje?

    Habari jamani. Kwa mazingira haya yanayojieleza ya kisiasa mimi nashauri kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu MAMA AJITASIMINI.....Anasifa nyingi na wapambe wengi ila viatu vinampwaya sana
  5. U

    JamiiForums Tanzania Snura aachana na muziki wa kidunia, aomba nyimbo zake zisipigwe tena, na picha zake zisipostiwe akifariki dunia

    Mchenzaji makini ni yule anayejua muda sahihi wa kushuka jukwaani
  6. U

    JamiiForums Tanzania Shule 20 maarufu Kilimanjaro miaka ya 1980 mpaka 1995

    Shule ya Lyamungo ilianzishwa mwaka gani ? Anaejua atiririke hapa tafadhali
  7. U

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahisi ninashida kwenye mwili wangu. Vidonda vya tumbo, hofu, wasiwasi na uoga vimeniandama mno

    Pole sana kijana mimi babu yako nina changamoto hiyo lakini naikubali pili nakwepa watu wa kuniletea stress na mambo ya stress.Jikubali maisha yataendelea ondoa hofu
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kigamboni ni sehemu nzuri Sana kuishi Dar es salaam kwa sasa

    Wakae Yao na Wamakonde na Ndugu zao wazaramo
  9. U

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Urusi yaingia Poland safarini kuelekea Ukraine

    Ni mwaka wa pili sasa shughuli hajasimama
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Huna pesa tafuta pesa watakugombania
Back
Top Bottom