Labda niwaweke sawa richa ya ayo maendeleo zingatia vitu ivi
1)simu ata iwe nauwezo wakukupa taarifa vipi uwe na app ya TV nakadharika lakini umuhimu was TV upo palepale asikwambie mtu kuangalia video katika kioo kikubwa ni raha
2)ata ikija iyo technology ya kuwasiliana kwakutumia hisia lakini...
Hapa inaonekana wengi wanaongea koshabiki tu kwachuo ni kawaida sana kutolewa swali ambalo ataukitafuta Google majibu upati hususani kwenye somo la psychology kujua swali linataka nini ni rahisi lakini majibu mbinde apo minikipewaga assignment kama iyo nachofanya ni kusachi bila kuchoka Google...
Niende direct kwenye mada kwani kwa mtazamo wangu naona kuwa Tanzania kuna wanasayansi wengi tu katika nyanja mbalimbali kama madaktari, mainjinia nk lakini watanzania wengi wamezoea kusema kuwa kwa Tanzania hakuna wanasayansi eti kwasababu hawagundui sasa najiuliza maswali kama haya;
1)Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.