Je huwezi kuwa mwanasayansi bila kugundua kitu?

Udom runner

Member
Apr 5, 2017
9
7
Niende direct kwenye mada kwani kwa mtazamo wangu naona kuwa Tanzania kuna wanasayansi wengi tu katika nyanja mbalimbali kama madaktari, mainjinia nk lakini watanzania wengi wamezoea kusema kuwa kwa Tanzania hakuna wanasayansi eti kwasababu hawagundui sasa najiuliza maswali kama haya;

1)Je sayansi haina kazi nyingine zaidi ya kugundua

2)Huwezi kuwa mwanasayansi bila kugundua

3)Je sayansi ikiwa kazi yake ni kugundua tu, je hivyovitu vinavyogunduliwa atavitumia nani?

NB:Ikiwa sayansi ni kugundua tu hii inamaana kwamba madaktari waache wagonjwa wafe wajishulishe na kugundua tu, mainjinia waache kutumia mashine ambazo zishakuwa invented wajishughulishe na kugundua tu, ma IT waache kusimamia computer system katika makampuni wakae kugundua nk

Je maisha yangeenda kweli

NAWASILISHA
 
As long as Umesoma science degree ur a scientist ni kama ukiwa na degree ya civil engineering lakn hujawah kujenga
 
Back
Top Bottom