Recent content by udobalai

  1. U

    JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya kumi wamefukiwa na kifusi

    duh!mlioko huko tujuzeni yanayojiri!mbona mambo yanakuwa hivi?mungu tunusuru na majanga haya!
  2. U

    JamiiForums Tanzania sammata tumsaidiaje ili awike Ulkaya?

    uzi huu si mahala pake hapa mkuu!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Absalom kibanda anavyoonekana kwa sasa

    get well soon brother!
  4. U

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Elimu katika kashfa vyeti

    hata mi nakumbuka jina la mulungu akiwa meneja kama c mkurugenzi wa southern highland sasa ghafla nikasikia mulugo kwenye siasa...mmh tutafika kweli?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Prof Chinua Achebe is dead

    ni pigo kwa ulimwengu hasa africa!rest in peace!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Askofu Mokiwa avamiwa, mlinzi wake taabani!

    ebr13.6"hata twathubutu kusema,bwana ndiye anisaidiye,sitaogopa;mwanadamu atanitenda nini?"mungu awasambaratishe kwa njia saba maadui wote...!
  7. U

  8. U

    JamiiForums Tanzania Askofu Mokiwa avamiwa, mlinzi wake taabani!

    mbona wanamuandama hivi mzee wetu?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu wapya wa kike wapo hatarini kubakwa!

    (usiseme sisi haituhusu!sema mimi...!nadhani umekurupuka,umefanya research wapi na kuja na majibu mepesi kuwa walimu ndo wamefelisha wadogo zenu?hao waliofanya vizuri walikuwa wametengewa madarasa yao ukiwafundisha wewe?na walimu wa private nao hawafundishi? maana mnadai walimu wa serikali ndo...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi ndivyo ilivyo kuwa bungeni Feb 04, 2013

    Anamwambia mtahukumiwa na wananchi 2015 si mbali....
  11. U

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana Wabunge wa CCM!

    Ni kweli watachaguliwa ila idadi tutaipunguza sana...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana Wabunge wa CCM!

    mwisho wa mambo hayo umekaribia...itakuwa fifty fifty2015.wananchi tuamke ubabe huu uwe mwisho
  13. U

    JamiiForums Tanzania Naam Tundu Lissu ni mmoja kati ya Ma great thinker wachache sana.

    Kwani mabilioni ya dhaifu walikopeshwa walengwa?huu mpango je utawanufaisha walengwa?lets wait....
  14. U

    JamiiForums Tanzania Naam Tundu Lissu ni mmoja kati ya Ma great thinker wachache sana.

    Wapo wenye uchungu wa thati akiwemo tundu lissu ila wanamezwa na....ndiyoooo!!
  15. U

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Zitto kuchukua maamuzi magumu...

    Watachinja wachungaji this time
Back
Top Bottom