Muhimu ni kutunza maana ya jina hilo ikiwa ni kabila au lugha yoyote Kuna watu wanawapa watoto majina ya kikabila lakini ukifatilia maana ya majina hayo yana maana mbaya sana.
Bashite Anakula maisha da kama yake. Hizo pesa za kuzamini kiasi hicho hivi anazipata wapi? Kila kukixha mara wanawake sasa kashasema anatakakuwapa na wanaume wa Da. Anatoa wapi pesa
Watanzania tushazoea kila mtawala anakuwa na lake na sio kirithi mazuri na kuyaendeleza. Alikuwa Mh. Mkkapa alipotoka aliacha uchumi ukiwa vizuri. Na huyu naye anamtengenezea anayekuja aje atafune, ndo maisha yetu yalivyo hayana mfumo unaoeleweka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.